Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Mume wa mleta mada baada ya dawa kukolea
20221010_172442.jpg
 
Mkuu ukichofanya fikiria mara mbili. Wife alinifanyia upuuzi kama huo na akajiamini sana na akajisahau kabisa kwa sababu nilikua SINA KAULI kabisa juu yake. Siku yule mzee (mganga wake) alipofariki mambo yakafall apart vibaya sana na sasa ni almost miezi 7 tangia tumeachana NA ANAJUTA SANA SIO KIDOGO. Kama hujui ulichokifanya sio one time ila unatakiwa kurenew from time to time so get prepared usije sema HUKUASWA.
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
Subiri Ndugu yake yeyote agundue halafu amwendee kwa mganga mkali kuliko wako

Mumeo atapona halafu wewe utafia hapo au atakufunga uzazi moja kwa moja

Mchawi wewe
 
Wanaume wengi tu wamebanwa na wamebadilika
Sawa huu uzi upo ntakuja kuweka update sitoona aibu ikitokea hajabadilika
jinsi hela ilivyo ngumu na wanawake wengi wamegeuka professional omba omba kwa mizinga ya hapa na pale ungekuwa wangu ningekuwa nakukumbusha asubuhi kuwa usisahau kuniroga kwa jana nilikuwa na Fatuma nafikiri leo Lilian ananihitaji zaidi yako.
 
Back
Top Bottom