Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

Kama anafuata kula chakula kizuri, jifunze pika vizuri hapo kwako ale,

Kama anafuata kusikilizwa jifunze kumsikiliza vizuri n.k.
 
Tafuta kujua nje kwa michepuko anafuata nini?

Kama ni utulivu mpe wewe na sio makele chungu nzima hapo nyumbani kwenu, lawama na visirani Kama vyote Mwanaume ni kama Roho Mtakatifu hakai mahala Penye makele!

Kama ni huba jifunze azipate hapo nyumbani toka kwako ataacha kwenda nje!

Kuna wanaume ni nature wanapenda chini hata kama ufanye nini,nilishafanya yote hayo
Huyu mwanaume hanywi pombe yeye shida yake ni wanawake
Alafu kwa hawa wanawake wa sasa hivi wanaodanga nisiporoga mimi wataroga wao kwaio ni bora mwenye mali nifanye hivyo
Mtu mwenyewe ni mtoaji by nature anajua kubembeleza etc hakuna mwanamke akimpata atamuacha kirahisi,sitaki hizo stress za kila siku nipambane nae kuhusu michepuko ni kheri iwe hivi
 
Ila nawasihi, msije mkaharibu, kuna mtu nchi jirani aligeuka kuwa nyoka. Alikosea masharti ya limbwata.
 
Kuna wanaume ni nature wanapenda chini hata kama ufanye nini,nilishafanya yote hayo
Huyu mwanaume hanywi pombe yeye shida yake ni wanawake
Alafu kwa hawa wanawake wa sasa hivi wanaodanga nisiporoga mimi wataroga wao kwaio ni bora mwenye mali nifanye hivyo
Mtu mwenyewe ni mtoaji by nature anajua kubembeleza etc hakuna mwanamke akimpata atamuacha kirahisi,sitaki hizo stress za kila siku nipambane nae kuhusu michepuko ni kheri iwe hivi




[emoji38][emoji38]

Maya bana!

Uchawi sio mzuri @ Maya!
 
Mwanaume wa pekee yako ni baba yako tuu.alafu mwanaume ameumbwa kwaajili ya wanawake siyo mwanamke.
 
Sema uchawi uko na expire date...
Siku akigutuka hutaweza tena kumdhibiti...so acha upendo wa asili uchukue nafasi.

Mwanaume kama kakuoa that's means anakupenda,huko nje anaonja onja tu....
Anayependwa uko ndani.
 
Kwani si wewe uliyekuwa trapped by married man. Na mkapanga kufunga ndoa ya siri.... leo hii upande wako imekuwa mchungu umeamua kuloga[emoji2][emoji2][emoji2]

Karma is Real.[emoji119]


Yes umekua mchungu nime loga na sasa amani imetawala
Mambo ya kawaida sana hayo mtaani ni mkiwa nyuma ya keybord mnajifanya kushangaa
Bottom line kuna utulivu na amani nyumbani kwangu[emoji4]inamaama mlogo umekolea[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sema uchawi uko na expire date...
Siku akigutuka hutaweza tena kumdhibiti...so acha upendo wa asili uchukue nafasi.

Mwanaume kama kakuoa that's means anakupenda,huko nje anaonja onja tu....
Anayependwa uko ndani.

Siwezi kujisahau ntakuwa na renew time after time siwezi kusahau hilo
 
Siwezi kujisahau ntakuwa na renew time after time siwezi kusahau hilo



Labda kama yupo yupo si mtu wa kutoka Na kujiangalizia mwili wake na mambo yake!

Vinginevyo akijakujua anakuacha [emoji108]

Huko kumroga kuna mambo mengi unaweza ukapelekea kumuua mtoto wa watu! [emoji57]

Wanaume wengi wamepoteza maisha shauri ya kurogwa na wanawake zao kwa kujifanya Eti ni kwa wema , wema gani wa kurogana?

Mwanaume mwingine akijua unamroga hatakuwa na msalia Mtume hata tone ni talaka 3 moja ukampe alokufunza ushirikina na ulozi .
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.

UPDATE 1
Imetimia mwezi na week mbili toka zoezi langu,nyumba ina amani sana,yani mwanaume ule ubabe na ukorofi hamna tena ni kama mtu mpya ni full mahaba,mkituona kama teens anyway nimefurahi angalau mambo ya maendeleo yameanza kufanyika,naambiwa kila kitu na access ya pesa ninayo full amani na furaha,nitaendelea kuwajuza hili sakata hadi mwisho.
Wale mnao nipopoa mbona wanaume wengi tu wametulizwa sioni ajabu kwangu
Ukikuta kondomu inabidi umpongeze mmeo kwa sababu iyo ni ishara kwamba anajali afya
 
Back
Top Bottom