Wanaume wakibongo kwenda nje ya ndoa.

Ukitaka kufaidi angalia kipindi cha "Waongo/Cheeters" utapata majibu kama ulaya/wazungu hakuna waongo wa mapenzi

Tabia haina rangi, kabila, utaifa wala dini
 
......wanaume ni wale wale tu, hakuna cha mzungu wala mweusi. Mwanaume akiamua kucheat atacheat haijalishi kama mzungu au black........ukitaka kuona wazungu wana tabia za kiswahili tena muda mwingine hata mswahili ana nafuu angalia kipindi cha divorce court na cheaters ndipo utakapojua mwanaume ni mwanaume tu wala usiangalie rangi..... wanaume waaminifu wapo sana sema wachache.
 
wengine tunapenda vidogo kuliko dole gumba,vina raha yake ati.....mimi hii mitarimbo wala siipendi.....l.o.l:hand:

mh,kumbe jf kuna mambo.itabidi niage kabisa facebuk.maana humu naona kama kuna kila issue.
 


blah blah
 
Jamani mwanaume mwenye busara shurti awe na "business" continuity plans na sio kwenda Ohio, kinondoni, corner bar etc
 

Kazi unayondugu yangu, hako ni karoho fulani tu(katabia kachafu) ambako mtu anakuwa nako, kwa nini usiridhike na mke wako uliye naye? Kama ingekuwa kutimiza haja mbona utakuta wanaume wengine ana wake wanne haf ana hawala pembeni? Hili ni tatizo la kipsychologia tu, kujiendekeza.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi ukaunga wazo mgando la watu kama mange ambao kwa ufinyu wa akili za kitumwa walizonazo wao kuwa kuoana na wazungu wazee ni bahati.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi ukaunga wazo mgando la watu kama mange ambao kwa ufinyu wa akili za kitumwa walizonazo wao kuoana na wazungu wazee ni bahati.
 
Nakumbuka maoni ya Rais wa FIFA wakati wa sakata la John Tery kutembea na mwanamke wa mchezaji mwenzake. Alisema, hizi kelele ni Uingereza tu lakini angekuwa Latin America au nchi fulani za Ulaya, angeongezewa/pewa wanawake wengine atembee nao!!! Hivyo mtoa hoja huna sababu ya kujiumiza kichwa na maoni ya kuwasifia wazungu wakati anayewasifia hawajui. Tunawajua wazungu walivyo wazinzi bana acha kabisa!!!
 
uzinzi ni hulka tu ya mtu jamani,haina ukabila wala rangi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…