Wanaume wakibongo kwenda nje ya ndoa.

Wanaume wakibongo kwenda nje ya ndoa.

Ukitaka kufaidi angalia kipindi cha "Waongo/Cheeters" utapata majibu kama ulaya/wazungu hakuna waongo wa mapenzi

Tabia haina rangi, kabila, utaifa wala dini
 
......wanaume ni wale wale tu, hakuna cha mzungu wala mweusi. Mwanaume akiamua kucheat atacheat haijalishi kama mzungu au black........ukitaka kuona wazungu wana tabia za kiswahili tena muda mwingine hata mswahili ana nafuu angalia kipindi cha divorce court na cheaters ndipo utakapojua mwanaume ni mwanaume tu wala usiangalie rangi..... wanaume waaminifu wapo sana sema wachache.
 
wengine tunapenda vidogo kuliko dole gumba,vina raha yake ati.....mimi hii mitarimbo wala siipendi.....l.o.l:hand:

mh,kumbe jf kuna mambo.itabidi niage kabisa facebuk.maana humu naona kama kuna kila issue.
 
yeye ndo anavyoona,mi kwa kuwa nawafahamu wanaume wa kiafrica na hasa wa kitanzania zaidi nakubaliana nae kuwa wengi wao wanakwenda nje ya ndoa zao,imefika hatua sasa si kitu cha ajabu tena......wanaume wa mabara mengine wapo wanakwenda nje ya ndoa lakini hawajafikia wa kiafrika.....hapa hata kwa risasi sikanushi....l.o.l


blah blah
 
Jamani mwanaume mwenye busara shurti awe na "business" continuity plans na sio kwenda Ohio, kinondoni, corner bar etc
 
Tatizo la Wanawake mmekuwa "hypotinized" na tamaduni ambazo hamzijui...

Siyo Tanzania tu - bali DUNIA nzima - Kila mwanaume aliye katika ndoa ni LAZIMA atoke nje ya ndoa yake - That is natural!

Lazima mwanaume awe na wanawake zaidi ya mmoja wanaoweza kutimiza haja zake za mwili at any given time "t"!

Kazi unayondugu yangu, hako ni karoho fulani tu(katabia kachafu) ambako mtu anakuwa nako, kwa nini usiridhike na mke wako uliye naye? Kama ingekuwa kutimiza haja mbona utakuta wanaume wengine ana wake wanne haf ana hawala pembeni? Hili ni tatizo la kipsychologia tu, kujiendekeza.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi ukaunga wazo mgando la watu kama mange ambao kwa ufinyu wa akili za kitumwa walizonazo wao kuwa kuoana na wazungu wazee ni bahati.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi ukaunga wazo mgando la watu kama mange ambao kwa ufinyu wa akili za kitumwa walizonazo wao kuoana na wazungu wazee ni bahati.
 
Nakumbuka maoni ya Rais wa FIFA wakati wa sakata la John Tery kutembea na mwanamke wa mchezaji mwenzake. Alisema, hizi kelele ni Uingereza tu lakini angekuwa Latin America au nchi fulani za Ulaya, angeongezewa/pewa wanawake wengine atembee nao!!! Hivyo mtoa hoja huna sababu ya kujiumiza kichwa na maoni ya kuwasifia wazungu wakati anayewasifia hawajui. Tunawajua wazungu walivyo wazinzi bana acha kabisa!!!
 
uzinzi ni hulka tu ya mtu jamani,haina ukabila wala rangi...
 
Back
Top Bottom