wanaume walevi

wanaume walevi

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
eti wanakojoa kitandani sana, kila siku kuanika godoro na wake zao wanawavumilia na kuwapenda. enyi mlioolewa na walevi mnasemaje????????? kuna ukweli hapo. du kazi ipo. Hii ameniambia mtu wa karibu mwanamke ambaye nimesoma naye kwa kipindi cha miaka kama 7 hivi
 
kuna uweli....na wengine wanafanya zaidi ya kukojoa.......watapike,maugomvi na kukosekana amani nk......kazi kweli kweli
 
kuna uweli....na wengine wanafanya zaidi ya kukojoa.......watapike,maugomvi na kukosekana amani nk......kazi kweli kweli

Nahisi wewe ni muhanga na unavumilia ama umehadisiwa na shoga wako?
 
Nahisi wewe ni muhanga na unavumilia ama umehadisiwa na shoga wako?

nilikuwa muhanga.....kikombe hicho kikaniepuka.....hela ya sabuni za kufua mashuka zenyewe alikuwa hatoi.....yeye,pombe na baamedi.....:wink2:
 
nilikuwa muhanga.....kikombe hicho kikaniepuka.....hela ya sabuni za kufua mashuka zenyewe alikuwa hatoi.....yeye,pombe na baamedi.....:wink2:

inabidi nikutafute utulize mzuka kwangu siye wa soida/juisi bwana tunakojoa uji tu tena usiotiwa chachu
 
wanakera sana, they are :A S-devil4:
 
nasikia na tigo huwa zimechakachuliwa hahahaah,ntabaki single milele
 
walevi wanatofautiana ukiona hivo hao pombe zimewashinda.

tena utakuta wanajidunga every day ! na mtu atajuaje pombe imemshinda wakati ana kula kila siku na anakojoa kitandani na kazi anafanya! huenda hata wenye nyazifa kuu mawaziri! na wengineo yanatokea ila hayasemwi hadharani kulinda kheshima
 
Heeeeee, uko wapi mwenzetu

nipo somewhere kwenye baridi kali 24/7 a week,365 days a year, kwa jinsi bongo inavyonikera na ufisadi, sitamani hata kurudi
 
Back
Top Bottom