Wanaume waliosoma seminari

[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo kwenye usinitch... yamkini ni kwa sababu shule hizo ni singo sana.
Mimi pia nimesoma seminary, niwakumbushe tu kuwa enzi za Mwl. J.K.Nyerere aliwahi kuzitaka seminary zichukue na Waisilamu sio Wakristu pekeee ili nao wapate zile faida ambazo wenzao wanapata na walipokataa kwa madai kuwa seminary ni kwa ajili ya kuandaa Mapadri naye akakataa kupokea form 5 kutoka seminary. Ilikuwa hivyo mpaka alipokuja kugundua kuwa amepoteza manpower ya muhimu serikalini ndiyo akarudisha..i tell you viongozi wengi waandamizi walio katika sector nyeti za serikali ni product ya seminary.
Kwa taarifa yako most pefomers wa Form 4&6 ni seminarians ndo maana walipogundua hivyo wakagawa kuwa shule zenye wanafunzi zaidi ya 40 wawe ranked tofauti na wale chini ya 40 ambao mostly huwa ni waseminary na hawatangazwi.
I tell you ni bahati kufanyakazi na mseminary na kamwe hawezi kuharibikiwa sana ktk maisha yake hasa kitabia.
 
Ninachojua ni kuwa wanaishi maisha ya kinafiki sana, wanajifanya wema mbele za watu kumbe mbwa mwitu, mwisho wao huwa ni mbaya sanasana wanakurupukia mpenzi, na baadae wengi wanakufa Kwa ngoma maana huwa wanafanya hayo mambo Kwa siri.

hapo kwenye red hakuna uhusiano wowote dhidi ya kuongea kwa chuki zisizo za msingi, kwenye blue ninachoweza kusema ni kwamba suala la kufa kwa ngoma hakuna mwenyewe unaweza ukafikiri kwamba ok labda ni malimbukeni wa mapenzi hadi kupelekea kupata ngoma lakini ukumbuke kuwa njia za kuambukiza ngoma haiko moja na kama unafikiri juu ya matumizi ya kondom nako si salama sana kama unavyofikiri wewe ambaye si limbukeniki wa mapenzi kupasuka kwa kondom nako kunaweza kukusababishia kupata ngoma.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Bbi kulikoni unashika kichwa??? Umemfumania babu nn?? Maana hyu bbu yangu ni mwingi wa matukio....anataka kufanana na bashite kwa matukio
CC😀aby[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wengu wao ni wana CHAPUTA mpaka mwenyekiti wa chaputa katoka huko pia hawajui kutongoza sababu ya nyeto inawapunguzia uwezo wa kujiamini ndio akipata gal hana ujanja kwa ufupi wengi wao in akina bushoke yaani mademu wa saivi mnapenda wanaume wapole ili muwe na sauti ktk familia ndio maana alikwambia ukimpata shikilia
 
Kusema kweli ni Usemi tu wa watu wengi kuwa wanaamaadili mazuri ila Ukweli ni kwamba Maadili mazuri hutokana na mtu mwenyewe sio lazima awe amesoma Seminary maana pia huko Seminary kuna mambo mengi sana ya Ajabu.
 
Mapungufu

Kupuuzia mambo mfano ukiugua ukiwa na msiba unaweza sema hajali

Kutokana na mafunzo wanayofundishwa NALO HILO LITAPITA

so they blv nathing.last forever inawafanya kutojali saana matatizo yao.na ya wengine

Pili ni ulafulafu kutupa nnguo hovyo.ndani kukaa wanaume watupu.mda.mrefu kunawapunguzia unadhifu ndani.anaweza tupa tupa.nguo sox viatu. nk

Mwisho ulevi japo sio wote
 
Bbi kulikoni unashika kichwa??? Umemfumania babu nn?? Maana hyu bbu yangu ni mwingi wa matukio....anataka kufanana na bashite kwa matukio
CC😀aby[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mie si nilikuambia mie aunty yako ukakataa, haya chacha leo nimetambulishwa wifi yangu kuwa ni bibi kasie, kwahiyo huyo ndio bibi yako, tena bibi haswaaaa.
 
Wengi watoto wa mama! Waukweli ni wale wa uboyzin afu govt usiwachezee viumbe hao
 
It does not matter ... Kama mseminar alie tulia na aliesikiliza mafundisho ya seminary lazma awe mfano kwa familia ake hata kwa jamii aliyomo kwa matendo mema OK
 
Acha upotoshaji , katika vitu vinavyofuatiliwa ni pamoja na kuwa smart, nakumbuka wakati tupo pre form one, masista walikuwa wanafanya kazi ya kutufundsha jinsi ya kupangilia vitu vyetu, hususani kutandika vitanda vyetu vizuri na kwa usahihi.
 
Seminary imenisaidia sana kunipa reality of life,and how to be successful in life,,maisha ya Sala,kumuogopa Mungu na kuheshimu watu,so ikitokea nimepinda,uamuzi ni wangu,ila seminary waliniandaa haswa,,miaka sita yote sikuwahi kusikia tetesi mara ushoga,nikirudi likizo,mtaani ndo naskia wanasema,,ooh seminary ni hivi ni vile but never ever,hakuna aliyewahi kuwa na mawazo hayo kati yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…