Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Mie si nilikuambia mie aunty yako ukakataa, haya chacha leo nimetambulishwa wifi yangu kuwa ni bibi kasie, kwahiyo huyo ndio bibi yako, tena bibi haswaaaa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] na husna muba mbn namsikiasikia
 
Hata wakikengeuka huwa hawakengeuki mazima... Wamejengewa hofu fulani ya mungu ndani yao
 
Seminary imenisaidia sana kunipa reality of life,and how to be successful in life,,maisha ya Sala,kumuogopa Mungu na kuheshimu watu,so ikitokea nimepinda,uamuzi ni wangu,ila seminary waliniandaa haswa,,miaka sita yote sikuwahi kusikia tetesi mara ushoga,nikirudi likizo,mtaani ndo naskia wanasema,,ooh seminary ni hivi ni vile but never ever,hakuna aliyewahi kuwa na mawazo hayo kati yetu
Baada ya kumaliza seminary vipi mtaani kila demu ni mzuri
 
Nachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.

1. Labda mlikuwa mkipiga pamoja, otherwise ulijuaje?
2. Kama na wewe ulikuwa unapiga, then (kama wewe si mseminaristi) ina maana kumbe punyeto si kwa waseminaristi tu.
3. Kama wewe ni mseliminalisti na ulipiga punyeto sidhani kama kila ukipiga waseminalisti wote duniani walikuwa wakipiga punyeto.
4. Punyeto ni moja ya alama za adolescents kutambua their sexual urges. It's not necessarily wrong at this stage. It could only be wrong if done excessively. Sources zangu ni hizi:

"Masturbation is a medically healthy and psychologically normal habit.” This is according to the following psychology books/articles: Porter, Robert S; Kaplan, Justin L, eds (2011). "Chapter 165. Sexuality and Sexual Disorders". The Merck Manual of Diagnosis & Therapy (19th ed.). Whitehouse Station, NJ: Merck Sharp & Dohme Corp, A Subsidiary of Merck & Co, Inc ISBN 978-0-911910-19-3, Patton, Michael S. (June 1985). "Masturbation from Judaism to Victorianism". Journal of Religion and Health. Springer Netherlands. 24 (2): 133–146. doi:10.1007/BF01532257. ISSN 0022-4197. PMID 24306073, Jack Boulware (9 May 2000). "Sex educator says most people masturbate". Salon.com, Szasz, Thomas S. (1974) [1973]. "Sex". The Second Sin. London: Routledge & Kegan Paul Ltd p 10. ISBN 0-7100-7757-2, Shpancer, Noah (29 September 2010). "The Masturbation Gap. The pained history of self pleasure". Psychology Today. New York City: Sussex Publishers,Coon, Dennis; Mitterer, John O. (1 January 2015). "11. Gender and Sexuality". Introduction to Psychology: Gateways to Mind and Behavior (14 ed). Cengage Learning. p. 363. ISBN 978-1-305-54500-7, Sigel, Lisa Z. (Summer 2004). "Masturbation: The History of the Great Terror by Jean Stengers; Ann Van Neck; Kathryn Hoffmann". Journal of Social History. Oxford: Oxford University Press. 37 (4): 1065–1066. doi:10.1353/jsh.2004.0065. ISSN 0022-4529. JSTOR 3790078 and Wood, Kate (March 2005). "Masturbation as a Means of Achieving Sexual Health by Walter Bockting; Eli Coleman". Culture, Health & Sexuality. London: Taylor and Francis, Ltd 7 (2): 182–184. ISSN 1369-1058. JSTOR 4005453.

It may be considered abnormal, when it’s excessive/destructive. See George R Brown, MD. "Overview of Sexuality". Merck Manuals Professional Version.
 
Baada ya kumaliza seminary vipi mtaani kila demu ni mzuri
No mkuu,hiyo ni attitude tu ya mtu,hauhusiki na seminary hata kidogo,jamaa wako very strictly,ukichelewa kufika shambani wakati wa kilimo,ukizubaa adhabu yake utalima shamba lote peke yako,,ukiongea kiswahili kama sio jumapili utaisoma number,,hizi ni issue ndogo ila kwao ni muder case,ndiyo ije kuwa punyeto,japo sikuwahi kusikia ila huwa hawavumilii uzembe wa aina yeyote
 
Back
Top Bottom