Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Mkuu hii ni "fallacy"
Miaka ya nyuma tulipokuwa vijana wa chuo,tulifundishwa kuwa "a fallacy is an error of thinking"
Hii yako inaitwa "Fallacy of Hasty Generalazation"
Mkuu barafu unge qoute comment ya kwanza ndiyo ungenikamata kwenye fallacy. Sasa umekuja kuni qoute ambayo nimesema wengi niliowaona hakuna tena fallacy hapo maana hamna speculated conclusion.
 
Mkuu barafu unge qoute comment ya kwanza ndiyo ungenikamata kwenye fallacy. Sasa umekuja kuni qoute ambayo nimesema wengi niliowaona hakuna tena fallacy hapo maana hamna speculated conclusion.
Ni kweli mkuu,nime-qoute hiyo kwa muendelezo wa ile ya punyeto,zote hizo ni "fallacy" mkuu Daby
Maana unachukua idadi fulani ya watu katika kundi fulani,unaitazama tabia yao na kuijumlisha kuwa ni tabia ya watu wote wa kundi hilo...
 
Ila nikiachana na generalisation..waseminari niliyobahatika kuwajua wanahayo mambo na waliopita boys(mwenyewe nimepita huko)
 
Ila nikiachana na generalisation..waseminari niliyobahatika kuwajua wanahayo mambo na waliopita boys(mwenyewe nimepita huko)
Mimi pia nimepita boys enzi za Mwalimu...Hizi ni tabia tu za kiume ktk umri wa balehe na makuzi
Uzuri ni kuwa,wale wa shule za mchanganyiko mambo mengine ya mfadhaiko huisha kwa wao kukaa tu hata karibu na wasichana,wakati hawa wa boys tupu hawana hiyo fursa...Matokeo yake huishia kupiga puchu ya kushogoana
 
Ila nikiachana na generalisation..waseminari niliyobahatika kuwajua wanahayo mambo na waliopita boys(mwenyewe nimepita huko)
Wakiacha kupiga punyeto punyeto yao inakuwa wanawake, vitombi hao.
 
Mimi pia nimesoma seminary......actually mseminari ni sawa na komandoo Popote pale anaishi. Angalia ulimwengu unatawaliwa na kina nani au uliwekewa misingi na kina nani. utajua walikuwa seminarians. Am proud of it. Suala la kuwa domo zege ni kila mtu anaweza kuwa in short uwa tunaenda direct maana sio waongo. Punyeto mm nimeijulia Hall II UDSM kwa jamaa zangu waliosoma gvt xul. Ni watu wanaosifika sana katika utendaji katika biashara au maofisi ya serikali. Katika ndoa ndo husiseme. Waliulizeni dada zenu wanajua. In all sectors narudia imeshikwa na mseminary.
 
Kweli tupu pia wanajiamini, hutumia busara ktk kufanya maamuzi, wanathamini utu siwatu wa kulipiza visasi kwa maadui zao. Ukimkuta kama ni daktari utapenda kuudumiwa na yeye. Ni hard working wanafanyakazi pasipo kusukumwa na boss
Jamaa Pale Mjini (JPM) amepita seminari.
Naweka sawa kumbukumbu
 
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
Ndio wapiga chaputa maarufu duniani.
Hapo aliposema amshikie nadhani itakua ni sabuni au mafuta ili aendelee na shughuli ya chaputa.
 
Ila nikiachana na generalisation..waseminari niliyobahatika kuwajua wanahayo mambo na waliopita boys(mwenyewe nimepita huko)
Masturbation ni hulka ya mtu. binafsi Advanced level nimesoma serikali, hapo ndio nikaanza kuzisikia story za chaputa zikiongelewa bila kificho. Wakati nilipokuwa seminary sikuwahi kusikia au kuona watu wakijihusisha na hayo mambo, kama waliokuwepo basi walifanya kwa kujificha ficha.
 
Back
Top Bottom