Kweli tupu pia wanajiamini, hutumia busara ktk kufanya maamuzi, wanathamini utu siwatu wa kulipiza visasi kwa maadui zao. Ukimkuta kama ni daktari utapenda kuudumiwa na yeye. Ni hard working wanafanyakazi pasipo kusukumwa na bossNi wanaume wa kawaida kama wanaume wengine walivyo.
Wengi mnaongea vitu hamvijui. Mimi nimesoma junior seminary, 5 years. Sjawahi jutia hyo miaka 5. Kule wanakujenge vzur sana tokea unapoanza, kiakili, kifikra, kimaadili. Tokea nmetoka seminari kila sehem nnayoenda ni rahisi kuishi na watu, ni rahisi sana kuexpress nini nataka, hata kuanzisha relationship kwangu ni rahisi sana. Seminari ni nzuri sana kujenga character ya mtu, na uwezo wake wa kufikiri
sio kweli, labda useme 20% kati yao.Nachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Angalia je baba yako amesoma seminari.
Mimi naowajua wengi wapiga punyeto mkuu na masnitch wakubwa saana.sio kweli, labda useme 20% kati yao.
[HASHTAG]#fact[/HASHTAG]Kweli tupu pia wanajiamini, hutumia busara ktk kufanya maamuzi, wanathamini utu siwatu wa kulipiza visasi kwa maadui zao. Ukimkuta kama ni daktari utapenda kuudumiwa na yeye. Ni hard working wanafanyakazi pasipo kusukumwa na boss
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo kwenye usinitch... yamkini ni kwa sababu shule hizo ni singo sana.Mimi naowajua wengi wapiga punyeto mkuu na masnitch wakubwa saana.
Nachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
Jamaa masnitch saana sijawahi kuona.. hahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo kwenye usinitch... yamkini ni kwa sababu shule hizo ni singo sana.
Mkuu wewe haupigi punyeto? Sema ukweli tumkuu mbona unatuonea tuliosoma seminari
Acha uongo mkuu Mimi nilisoma seminari na sijawahi Fanya hivyo wala kuona yeyote kati ya wanafunzi wenzangu akifanya hivyoNachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
At least naweza kukubaliana na weweVijana waliosoma Seminary na kuiva haswa katika mafundisho, endapo watayafata yote huwa ni vijana wema sana baadae wenye maono na tabia njema za kumpendeza Mungu. Wengi pia huwa ni wafanyakazi hodari na wakarimu.
Lakini bahati mbaya sana, vijana wengi siku hizi wanaosoma Seminary hukengeuka mara tu baada ya kumaliza masomo yao.
Wengi huwa wahuni kwa kujiingiza katika makundi ya hovyo sana baada ya kumiss ya dunia kipindi wakikua....
Junior seminary ni za kawaida tu hakuna tofauti kubwa na secondary za kawaida kiasi cha kumbadilisha mtu kifikra. Ngoma kwa aliyetorika seminari kuu.Wengi mnaongea vitu hamvijui. Mimi nimesoma junior seminary, 5 years. Sjawahi jutia hyo miaka 5. Kule wanakujenge vzur sana tokea unapoanza, kiakili, kifikra, kimaadili. Tokea nmetoka seminari kila sehem nnayoenda ni rahisi kuishi na watu, ni rahisi sana kuexpress nini nataka, hata kuanzisha relationship kwangu ni rahisi sana. Seminari ni nzuri sana kujenga character ya mtu, na uwezo wake wa kufikiri
Asilimia kubwa ya waseminari niliokuna nao advance na chuo ni wapiga punyeto na masnitch.Acha uongo mkuu Mimi nilisoma seminari na sijawahi Fanya hivyo wala kuona yeyote kati ya wanafunzi wenzangu akifanya hivyo
Upo sahihi mshana jrLoving caring n very trustful... Nimepitia seminary trust me
Mkuu wewe haupigi punyeto? Sema ukweli tu
Pengine alikuwa mmoja tu wewe ukajumlisha woteAsilimia kubwa ya waseminari niliokuna nao advance na chuo ni wapiga punyeto na masnitch.
Au niwataje majina hapa?
Hongera mkuu... sijaambiwa nimeshuhudia aseeh.Mkuu sijawahi kupiga hicho kitu tatizo mnapenda kusikiliza maneno ya kuambiwa seminari inakujenga kwenye misingi bora ya maisha
AiseeNachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.