Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Wengi mnaongea vitu hamvijui. Mimi nimesoma junior seminary, 5 years. Sjawahi jutia hyo miaka 5. Kule wanakujenge vzur sana tokea unapoanza, kiakili, kifikra, kimaadili. Tokea nmetoka seminari kila sehem nnayoenda ni rahisi kuishi na watu, ni rahisi sana kuexpress nini nataka, hata kuanzisha relationship kwangu ni rahisi sana. Seminari ni nzuri sana kujenga character ya mtu, na uwezo wake wa kufikiri
 
Ni wanaume wa kawaida kama wanaume wengine walivyo.
Kweli tupu pia wanajiamini, hutumia busara ktk kufanya maamuzi, wanathamini utu siwatu wa kulipiza visasi kwa maadui zao. Ukimkuta kama ni daktari utapenda kuudumiwa na yeye. Ni hard working wanafanyakazi pasipo kusukumwa na boss

[HASHTAG]#fact[/HASHTAG]
 
Vijana waliosoma Seminary na kuiva haswa katika mafundisho, endapo watayafata yote huwa ni vijana wema sana baadae wenye maono na tabia njema za kumpendeza Mungu. Wengi pia huwa ni wafanyakazi hodari na wakarimu.

Lakini bahati mbaya sana, vijana wengi siku hizi wanaosoma Seminary hukengeuka mara tu baada ya kumaliza masomo yao.

Wengi huwa wahuni kwa kujiingiza katika makundi ya hovyo sana baada ya kumiss ya dunia kipindi wakikua....
At least naweza kukubaliana na wewe
 
Wengi mnaongea vitu hamvijui. Mimi nimesoma junior seminary, 5 years. Sjawahi jutia hyo miaka 5. Kule wanakujenge vzur sana tokea unapoanza, kiakili, kifikra, kimaadili. Tokea nmetoka seminari kila sehem nnayoenda ni rahisi kuishi na watu, ni rahisi sana kuexpress nini nataka, hata kuanzisha relationship kwangu ni rahisi sana. Seminari ni nzuri sana kujenga character ya mtu, na uwezo wake wa kufikiri
Junior seminary ni za kawaida tu hakuna tofauti kubwa na secondary za kawaida kiasi cha kumbadilisha mtu kifikra. Ngoma kwa aliyetorika seminari kuu.
 
Acha uongo mkuu Mimi nilisoma seminari na sijawahi Fanya hivyo wala kuona yeyote kati ya wanafunzi wenzangu akifanya hivyo
Asilimia kubwa ya waseminari niliokuna nao advance na chuo ni wapiga punyeto na masnitch.

Au niwataje majina hapa?
 
Mkuu sijawahi kupiga hicho kitu tatizo mnapenda kusikiliza maneno ya kuambiwa seminari inakujenga kwenye misingi bora ya maisha
Hongera mkuu... sijaambiwa nimeshuhudia aseeh.
 
Back
Top Bottom