Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Mimi nilisomaga kuanzia form one to six. nilipoingia chuo mwaka wa mwisho akili zilifyetuka baada ya kuonja papuchi.
japokuwa nafanya kazi lakini naona sijatulia kwa kweli. mimi na wanawake yaani ni kutongoza mwanzzo mwisho. kwa siku naweza kutongoza kama wanawake 5, wa rika tofauti.
nilikuwaga na mpenzi wangu wa kwanza ambaye yeye ndo aliniapproach tukakaa miaka minne. tulikuwa tuna mipango mingi sana na alikuwa mwanamke bora kwa mimi kukutana naye. alikuwa mshaurii wangu mzuri sasa baada ya mimi siku moja niliyoonja huko nje hiyo kitu basi nikamuacha kimoja maana. japo alilia sanaa na ndiyo alinishawishi nijiunge JF. Alinipoteza muda wangu sasa mimi nimekuwa kama play boy sana mpaka najishangaa.
sometimes sisi waseminarist tukikengeuka ndo inakuwa kimoja. ata sifikiirii ntaacha lini u play boy. mda wa kuoa ushafika lakini sidhani kuna mwanamke naweza nkatulia naye zaidi ya mwezi. nikipata kipya nafukuza kabisa.
anyway but naomba Mungu nisipate magonjwa ya ajabu ajabu.
mnisamehe kwa kueleza ukweli