Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Mimi nilisomaga kuanzia form one to six. nilipoingia chuo mwaka wa mwisho akili zilifyetuka baada ya kuonja papuchi.

japokuwa nafanya kazi lakini naona sijatulia kwa kweli. mimi na wanawake yaani ni kutongoza mwanzzo mwisho. kwa siku naweza kutongoza kama wanawake 5, wa rika tofauti.

nilikuwaga na mpenzi wangu wa kwanza ambaye yeye ndo aliniapproach tukakaa miaka minne. tulikuwa tuna mipango mingi sana na alikuwa mwanamke bora kwa mimi kukutana naye. alikuwa mshaurii wangu mzuri sasa baada ya mimi siku moja niliyoonja huko nje hiyo kitu basi nikamuacha kimoja maana. japo alilia sanaa na ndiyo alinishawishi nijiunge JF. Alinipoteza muda wangu sasa mimi nimekuwa kama play boy sana mpaka najishangaa.

sometimes sisi waseminarist tukikengeuka ndo inakuwa kimoja. ata sifikiirii ntaacha lini u play boy. mda wa kuoa ushafika lakini sidhani kuna mwanamke naweza nkatulia naye zaidi ya mwezi. nikipata kipya nafukuza kabisa.

anyway but naomba Mungu nisipate magonjwa ya ajabu ajabu.

mnisamehe kwa kueleza ukweli
 
Nimesoma seminary pale nyegezi, for almost 5 years nlikuwa mseminari kwa sasa namshukuru mungu kwani kila sehemu nayokwenda watu wanapenda kuishi nami wakiniita baba paroko, seminari inafundisha vitu adimu sana hasa katika maadili
 
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
Wanakua vicheche balaa maana wakiwa vijana hawakupitia utundu ule,sasa ukubwani ndiyo wanaonja wanapagawa
 
mnyonge myongeni ila haki yake mpeni.

Vijana wa seminaries wamefundishwa vzr, wengi wao wanatabia nzuri, siyo kwamba hawatendi dhambi ila wanamisingi mizuri sana maisha yao.


Upande mbaya pekee niliouna kwao ni kwamba hawewezi kusema BIG YES or BIG NO kwenye jambo, so mara nyingi maamuzi yao yanakuwa ya kinyenyekevu hivi hadi jambo liwe obvious
 
Nimesoma seminary pale nyegezi, for almost 5 years nlikuwa mseminari kwa sasa namshukuru mungu kwani kila sehemu nayokwenda watu wanapenda kuishi nami wakiniita baba paroko, seminari inafundisha vitu adimu sana hasa katika maadili
Hata mm nimepiga nyegezi seminari kwenye enzi ya RECTOR ALFRED LWAMBA njombaaaa
 
Dah ni long time sana ila LWAMBA alimaliza mda wake mwaka 2010 ..na mwaka 2011 akaja fikiri mm niliua 2011 vp ww uliua lini!?
Nliua 12, we si ulikuwa class moja na kina methu, nyabange na wengineo
 
Mambo mengi negative mnayosema juu ya ex seminarians si ya kweli but ni individual characters.Mfano masterbation haina connection yoyote na seminary na usnitch pia ni tabia ya mtu.Seminary inajemjengea mtu misingi mizuri sana ya kimaadili na hard working spirit.So far kwenye mambo ya family ni watu wenye commitment sana na family zao na kwa wapenzi wao pia..Point to note: Ukimpata ex seminarian aliyegeuka kuwa wa mataifa (gentile) utajuta sana maana ni vigumu aje abadilike hadi ufunge na kusali sana.All in all ex seminarians tupo smart.
 
Back
Top Bottom