Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Teh shem kwani hautaki mimi kutulizwa na wifi yako![/QUOTE

Nataka kabisa tena nataka nifanye booking ya kikao yetu ya boma tukae kama kamati nimpe moja mbili tatu ya boma yetu usije ukawa humwambii vyote.

kikikikik teh teh
 
lakini nahisi malezi yao tu yapo so psychological mbali na wale waliokwenda kusomea na hata hao wa major seminary hawana utofauti mkubwa kabisa na hawa wa junior seminary kifupi tu ni kwamba wanafanana kwa kila kitu kwa sababu reasoning inabaki kwenye mfumo wa malezi na si tu kusoma ( hasa katika masomo yao ya Logic Philosophy etc).
In most cases unakuta wanalelewa na Mapadre, sometimes Mafrateri wakiwa likizo. Hivo kwa namna moja au nyingine nao wana adapt attitude za ki padre. Na most of the teachings zinakuwa zime base kuwaandaa waje kuwa mapadre so automatically nao wana behave kama priests to be.
 
Kuwa makini, kuna pande mbili, saa zngne unakuta sio rizki.. Analiwa mtandao
Hilo suala halina uhusiano na kusoma seminary. Wakati nasoma mtu aliyehisiwa kuwa na huwa mchezo, hakuvumiliwa hata dakika moja. Uzuri wa huku Gambera akishafanya maamuzi hakuna turning back.
 
In most cases unakuta wanalelewa na Mapadre, sometimes Mafrateri wakiwa likizo. Hivo kwa namna moja au nyingine nao wana adapt attitude za ki padre. Na most of the teachings zinakuwa zime base kuwaandaa waje kuwa mapadre so automatically nao wana behave kama priests to be.
exactly...!!
mimi ninawafahamu vizuri sana hawa waseminari na mafrateli wana sehemu/nafasi ndogo sana katika malezi ya wanafunzi wa junior seminary. Namna ulivyoishi ukiwa junior seminari kama kuna dosari/mapungufu ulishindwa kuyahandle na ndivyo utakavyoishi hata ukiwa padre....!!!
 
Hilo suala halina uhusiano na kusoma seminary. Wakati nasoma mtu aliyehisiwa kuwa na huwa mchezo, hakuvumiliwa hata dakika moja. Uzuri wa huku Gambera akishafanya maamuzi hakuna turning back.
watu wanatumia maneno ya mtaani kupublish ushetani.....!!!!
 
Waseminari kwanza sio Malaika, ni banadamu kama wengine, hawako perfect, wanajiunga Seminary wakiwa na umri kuanzia miaka kumi na tatu na kuendelea, hivyo huwa na tabia tofauti kutoka kwa wazazi wao na mazingira waliyokulia.
Wengi sio wasemaji sana( simaanishi wapole au wakimya) wanachagua maneno ya kusema, ni wasikilizaji zaidi. Wako principled , wanamisimamo na wanachokiamini, si rahisi kuwayumbisha, wachapakazi na wanafata ratiba, sio ma snitch bali ni watu wanaosimamia maamuzi ya jumla, utamuona snitch pale utakapofanya jambo la likipuuzi na atwakwambia kabisa anakudeal sio watu wa ku go behind others backs, .
Kwenye mahusiano ni mababa wazuri, tho wakikengeuka ni watu hatari sana. Mambo mengine ya punyeto na ulawiti ni ya jamii nzima hayana uhusiano na mtu kusoma seminary.
All in all wanajielewa.
 
Back
Top Bottom