Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Anasumbua saana. Asije akaleta laana kwenye ukoo.
Haha.

Sister unachokitaka kipo jikoni endelea tu.
Hakuna laana kwenye ukoo wetu, labda uulete wewe maana mmmh!!

Ninachokitafuta kipi tena mdogo wangu?
 
Ujue furaha yangu ni yako pia sis.
Hahaaaa!! Kama kweli unalijua hilo basi usinilazimishe kumuita bibi yangu wifi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hivi hauolewi tu wewe mjukuu wenzako wote ulocheza nao wamekwisha olewa
Wewe babu uliniambiaje nimepende tu pesa sasa huko kuolewa tena Leo umekutoa wapi......si uliniambia nikikosa wakunioa hat linini lile la mpira nitatumia. Di.......****
 
KBS shangazi yangu ualakini upo tena si mdogo[emoji4]
Umeona eeeh!! Kwakweli kwa hilo atusamehe tu. Ukoo umegoma, hilo janga lake mwenyewe.
Wewe babu uliniambiaje nimepende tu pesa sasa huko kuolewa tena Leo umekutoa wapi......si uliniambia nikikosa wakunioa hat linini lile la mpira nitatumia. Di.......****
Achana na babu yako bwana, kama dili ye mbona hajaoa anahangaika na vibibi tu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umeona eeeh!! Kwakweli kwa hilo atusamehe tu. Ukoo umegoma, hilo janga lake mwenyewe.

Achana na babu yako bwana, kama dili ye mbona hajaoa anahangaika na vibibi tu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
Mimi sijasoma seminary but nilisoma Bible knowledge O level na Divinity advanced level..Nikajifunza mengi kuna muda nili interact nao ...kwa kweli ni wengi ni vijana wenye tabia njema,, hata ikitokea kuanguka ni rahisi sana kwa waseminarist kumtafuta Mungu na kujirudi maana msingi upo
 
Back
Top Bottom