Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

[emoji23] [emoji23] mkuu umenifurahisha sana ila nilitaka kujua uliukwepa vip mguu Wa kuku?

DJ sepetu
 
Amen
 
kama utaitumia fursa vzuri inawezekana ikawa ndo njia yako ya kutoka ila wengi wanajisahau wanajua haya mambo huwa yanakaa milele.kumbe ni upepo tu unaopita
Aisee umeongea ukweli wengi wanaloea ktk bata
Mimi nilikuwa Na save hela

DJ sepetu
 
[emoji23] [emoji23] mkuu umenifurahisha sana ila nilitaka kujua uliukwepa vip mguu Wa kuku?

DJ sepetu

Hahahah kwenye kufa kaka unaweza ukapanda hata juu ya mlingoti wa bendera baadae ukaanza kushangaa ulipandaje pandaje
 
Subiri waje pm usiwakimbie ila mbona ume limit 2021?

DJ sepetu
Kuja pm sio tatizo tatizo ni aina ya ujumbe nitakao upokea ukiwa ni wakipuuzi sitojibu ila ukiwa na mantiki hakika nitajibu.

Nimelimiti kwa sababu ya maisha magumu mtaani 2021. Kuna foleni kubwa ipo nyuma ya kuwalea vibeni 10 au nifungue kituo cha kulea viben 10. Hahahaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…