Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Heheh maisha ni wewe utavyoamua kuishi tu mjini msingi kiuno, nakumbuka zamani enzi za high school tulikuwa tunamichezo ya kuwinda watoto wa kishua kwa hali na mali tulikuwa tupo ladhi hata kufake life ilimradi mtoto wa kike aingie king,

Tulikuwa tunajiweka karibu nao ilimradi tuende nao sawa lakini ukimpata, unamuonyesha maujanja yote unayoyajua ili mtoto asikuache huko kitandani lazima aombe pooo, and the good thing by that time watoto wakishua wengi walikuwa hawajui kitu kuhusu mapenzi kiufupi wengi wao walikuwa bikra,

bhas ukimuonjesha raha ya ukuni mtoto akaelewa shoo atakuganda kama ruba, na yupo radhi akupe chochote unachokitaka ili usimuache, sisahau siku nilipokoswa koswa na risasi mitaa ya masaki mtoto karudi likizo kisha kanialika kwao huku akinihakikishia wazazi wake wote hawapo siku nzima yupo na beki tatu wao tu, mzee nikajitanua kama kwangu mzee, mtoto wa mbagala siku hiyo nikala mzigo mbaka kwenye jakuzi, lol ,

kumbe mzee wake alipata dharura ikabidi arudi nyumbani , kilichotokea usitake kujua ila nilikoswa koswa na mguu wa kuku mzee. Miaka inaenda mbaka sasa nipo na hako katoto unaambiwa sijui ndo kamenioa hata sielewi, she give me everything ninachotaka, anachohitaji yeye ni true love bhas, bhasi vile na mimi napenda ukitonga nampa kile anachokihitaji na maisha yanaendelea, kwangu mimi najiona ni mwenye bahati na sifichi kusema mimi ni Mariooooooooo ( Dogo aslay voice)
[emoji23] [emoji23] mkuu umenifurahisha sana ila nilitaka kujua uliukwepa vip mguu Wa kuku?

DJ sepetu
 
Mimi nakumbuka chuo kulikuwa kuna manzi anasoma wakat ni mfanyakazi wa bank basi alikuwa ananitoa sana.


Mm maisha yangu yalikuwa magumu maana hela napewa ya mwezi na dingi kwa pamoja yani mfano nkiipata ijumaa nakula bata nkiamka j3 hata hela ya chai sina nakuwa naishi kama nipo vitani lkn nlivyokuja kumpata yule dada mambo yalikaa vzr tatizo tu kuhudumiwa na demu kunakufanya ukose uhuru fulani

Mungu amuongezee kwakweli.
Amen
 
kama utaitumia fursa vzuri inawezekana ikawa ndo njia yako ya kutoka ila wengi wanajisahau wanajua haya mambo huwa yanakaa milele.kumbe ni upepo tu unaopita
Aisee umeongea ukweli wengi wanaloea ktk bata
Mimi nilikuwa Na save hela

DJ sepetu
 
[emoji23] [emoji23] mkuu umenifurahisha sana ila nilitaka kujua uliukwepa vip mguu Wa kuku?

DJ sepetu

Hahahah kwenye kufa kaka unaweza ukapanda hata juu ya mlingoti wa bendera baadae ukaanza kushangaa ulipandaje pandaje
 
Subiri waje pm usiwakimbie ila mbona ume limit 2021?

DJ sepetu
Kuja pm sio tatizo tatizo ni aina ya ujumbe nitakao upokea ukiwa ni wakipuuzi sitojibu ila ukiwa na mantiki hakika nitajibu.

Nimelimiti kwa sababu ya maisha magumu mtaani 2021. Kuna foleni kubwa ipo nyuma ya kuwalea vibeni 10 au nifungue kituo cha kulea viben 10. Hahahaaaaa....
 
Back
Top Bottom