Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Fungua ila Na ile Huduma ya kati utawapa wote?

DJ sepetu
 
Mariooo wengi wanaishiwaga kutatuliwa marinda na mabasha wa hao wanawake wanaowafuga, sasa subiri zamu yako beiiiiiibeeeeeeeee [emoji104][emoji104][emoji104]
Hahaha sio kweli mfano Huyo dada alimweleza mh mbunge kuwa mm mdogo wake!
Alikuwa akija ananipa mihela kibao akijua Shem kumbe mume mwenzie

DJ sepetu
 
Kusaidiana kupo na ni kawaida kwa watu mko kwenye mahusiano na mnapendana.

Lakini marioo sijawahi kutana na mtu wa ivyo.
True ila kama mtu mwanafunzi itafanyaje yeye hana cha kukupa ila dushelele tu!

DJ sepetu
 
Kama ana kipato kikubwa kunishinda, kufugwa sioni shida ila asiibomoe akili yangu kishirikina .Bado nabaki kichwa cha nyumba na miradi yote ni jina langu kama baba wa nyumbani. Vinginevyo nasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…