Mkuu lazima ujue kula Na kipofuKama ana kipato kikubwa kunishinda, kufugwa sioni shida ila asiibomoe akili yangu kishirikina .Bado nabaki kichwa cha nyumba na miradi yote ni jina langu kama baba wa nyumbani. Vinginevyo nasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora ukaweka wazi Muosha Rungu aka Dj Sepetu, wewe ilikuwa katika kundi gani...!?Wapenzi mambo!
Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma!
Nikiwa mwanafunzi Wa Udom
Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia
Chakula mavaz matibabu pocket money Na mambo kibao kiasi kwamba sikutegemea boom kabisa!
Niligeuka saccos kwa marafiki zangu niliwafadhili sana!
Ilifikia kipindi nilihama chuo hostels Na kuhamia nyumbani kwake!
Alikua mtu Wa bata sana kila weekend tupo club maisha club au club 84.
Kwao nilijulikana hadi kijijini Na aliniamini sana!
Alikuwa Na maduka 2 ya nguo Na saloon ya kike ya kisasa Wateja wake wakuu wakiwa waheshimiwa!
Siku moja akaniambia Mali zote hizo
Zimetokana Na mbunge mmoja ambaye anatumika kisawa sawa!
Nakumbuka siku moja alisafiri kwa tren hadi kigoma kwa mtaalamu!
Ili kumdhibiti vizuri mhe.
Wanaume wenzangu wanao lelewa au waliwahi kulelewa Na wadada au majimama tupeni story pia faida Na hasara zake!
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan ukimaanisha mwanamke ni mkubwa au age ziko sawa except mwingine ni mwanafunzi na mwingine ana kazi?True ila kama mtu mwanafunzi itafanyaje yeye hana cha kukupa ila dushelele tu!
DJ sepetu
Mkuu si una mke mbona unataka kuharibu mambo au na ww ni kaka poa?
Askari wangu mbona unanikosea heshima aisee hivi wewe ni denz siyo? Kwanini unaniita kaka poaMkuu si una mke mbona unataka kuharibu mambo au na ww ni kaka poa?
Juzi uliitwa demu nikachili leo naona umeamua kunichokonoa lakin hakuna noma kamandaMkuu si una mke mbona unataka kuharibu mambo au na ww ni kaka poa?
Nimekuuliza tu swali mbona ume panic?Juzi uliitwa demu nikachili leo naona umeamua kunichokonoa lakin hakuna noma kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgodo visaNi bora ukaweka wazi Muosha Rungu aka Dj Sepetu, wewe ilikuwa katika kundi gani...!?
Huku Mikoani (kama ulivyosema ulikuwa Dom) wanawake wenye tabia hii, kufungia Mwanaume au Kijana ndani, kummiliki na kumfadhili kwa kila kitu, wengi hufanya hivi kwa sababu ya wivu, na hii ni baada ya kubaini mapenzi anayopewa/anayopata kutoka kwa mwenzie ni zaidi ya yale ya "Mwanaume Mashine".
Tumesikia taarifa nyingi tu kutoka katika Jiji la wala Chipsi na Mayai (Jiji la watoto wa Mama) vijana wa kiume wakifungiwa ndani na Majimama na hatimaye kugeuzwa na kuwa Malioo...!
Tumesikia taarifa za Vijana kukubali kufungiwa ndani, hata kama kufungiwa huko kutaambatana na yeye (kijana) kugeuzwa Houseboy, akifanya kazi za kutumwa kama kuosha vyombo, kufua nguo (mpaka za ndani) kugeuzwa dereva wa kumpeleka "Boss lady" Saloon, Super market n.k.
Tungependa Muosha rungu, ufunguke zaidi, ni kadhia gani nyingine au changamoto gani ulikutana nazo wakati huo Umefungiwa ndani.
Kwa kile ninacho fahamu mimi, ni kero tupu utakazo kumbana nazo, moja wapo ikiwa ni KUUZA UHURU WAKO.....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa bado coz nmekupa scenario 2 tofautYap hasa mwanamke awe Na kazi
DJ sepetu
Mmmmh siwez mpenda.To make short unaweza mpenda mwanafunzi uliyemzidi umri Na pesa Na je unaweza msaidia
DJ sepetu
Acheni undesi washkaji!Juzi uliitwa demu nikachili leo naona umeamua kunichokonoa lakin hakuna noma kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgodo visaSo, Muosha Rungu, what was your Target (vision) baada ya kukubali kulelewa, namaanisha ulichokuwa unafikiria ama kuchukulia kama mpango wako katika maisha ya baadae KI-Mahusiano....!?
Experience yangu, juu ya mahusiano ya namna hii, ni Nadra (mara chache) KUDUMU...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi fikiria kudate na mtu niliyemzid umri.Kwann mbona sisi wengine tumepata maisha kutokea kwa wapenzi wetu!?
DJ sepetu