Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wapenzi mambo!

Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma!

Nikiwa mwanafunzi Wa Udom
Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia
Chakula mavaz matibabu pocket money Na mambo kibao kiasi kwamba sikutegemea boom kabisa!
Niligeuka saccos kwa marafiki zangu niliwafadhili sana!

Ilifikia kipindi nilihama chuo hostels Na kuhamia nyumbani kwake!
Alikua mtu Wa bata sana kila weekend tupo club maisha club au club 84.

Kwao nilijulikana hadi kijijini Na aliniamini sana!
Alikuwa Na maduka 2 ya nguo Na saloon ya kike ya kisasa Wateja wake wakuu wakiwa waheshimiwa!

Siku moja akaniambia Mali zote hizo
Zimetokana Na mbunge mmoja ambaye anatumika kisawa sawa!
Nakumbuka siku moja alisafiri kwa tren hadi kigoma kwa mtaalamu!
Ili kumdhibiti vizuri mhe.

Wanaume wenzangu wanao lelewa au waliwahi kulelewa Na wadada au majimama tupeni story pia faida Na hasara zake!

DJ sepetu
Ni bora ukaweka wazi Muosha Rungu aka Dj Sepetu, wewe ilikuwa katika kundi gani...!?

Huku Mikoani (kama ulivyosema ulikuwa Dom) wanawake wenye tabia hii, kufungia Mwanaume au Kijana ndani, kummiliki na kumfadhili kwa kila kitu, wengi hufanya hivi kwa sababu ya wivu, na hii ni baada ya kubaini mapenzi anayopewa/anayopata kutoka kwa mwenzie ni zaidi ya yale ya "Mwanaume Mashine".

Tumesikia taarifa nyingi tu kutoka katika Jiji la wala Chipsi na Mayai (Jiji la watoto wa Mama) vijana wa kiume wakifungiwa ndani na Majimama na hatimaye kugeuzwa na kuwa Malioo...!

Tumesikia taarifa za Vijana kukubali kufungiwa ndani, hata kama kufungiwa huko kutaambatana na yeye (kijana) kugeuzwa Houseboy, akifanya kazi za kutumwa kama kuosha vyombo, kufua nguo (mpaka za ndani) kugeuzwa dereva wa kumpeleka "Boss lady" Saloon, Super market n.k.

Tungependa Muosha rungu, ufunguke zaidi, ni kadhia gani nyingine au changamoto gani ulikutana nazo wakati huo Umefungiwa ndani.

Kwa kile ninacho fahamu mimi, ni kero tupu utakazo kumbana nazo, moja wapo ikiwa ni KUUZA UHURU WAKO.....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True ila kama mtu mwanafunzi itafanyaje yeye hana cha kukupa ila dushelele tu!

DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan ukimaanisha mwanamke ni mkubwa au age ziko sawa except mwingine ni mwanafunzi na mwingine ana kazi?
 
Mgodo visa
Kila jambo lina two sides merits Na demerits

Kama ulivyodai kuwa unaweza kuwekwa ndani sababu ya wivu hili linaweza kuwa Na ukweli flani

Nakumbuka siku ya kwanza kusex naye ilikuwa lodge moja hapo Dom
Tulikuwa tumetoka club maisha mwendo Wa saa kumi alfajiri,
Tukalala hadi saa sita mchana ila mpenzi wangu Huyo akasema nisiende hostels chuoni tukae lodge hadi jumapil Na nisiwe Na hofu mambo hiz za gharama Na misosi atasimamia show kwa siku tatu!
Nikamuuliza kwann hivyo?
Akasema toka aanze mapenzi hakuwahi kufika kileleni! Yaani orgasm!
Siwezi ficha huyu dada alikuwa amefanyiwa FGM nadhani ndio sababu labda ila kutokana Na utundu wangu anasema alipata multiple orgasm!
Toka siku hiyo nilipoteza Uhuru kwa kiasi kikubwa!

Pili wivu! Aisee ni kero usiongee Na simu atataka kujua unaongea Na nani
Nakumbuka simu zangu mbili zilivunjwa!

Tatu taaluma iliyumba sana
Nilikuwa nachelewa lectures Na wakat mwingine kumiss kabisa!

NNE inabidi uwe Na moyo mpana ilibidi nizoee nikimuona Na mhe nisioneshe wivu kabisa ili asiweze baini uhusiano wetu maana alinitambulisha as kaka yake!

Of course nilikuwa kama personal assistant wake!

DJ sepetu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan ukimaanisha mwanamke ni mkubwa au age ziko sawa except mwingine ni mwanafunzi na mwingine ana kazi?
Yap hasa mwanamke awe Na kazi

DJ sepetu
 
So, Muosha Rungu, what was your Target (vision) baada ya kukubali kulelewa, namaanisha ulichokuwa unafikiria ama kuchukulia kama mpango wako katika maisha ya baadae KI-Mahusiano....!?

Experience yangu, juu ya mahusiano ya namna hii, ni Nadra (mara chache) KUDUMU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So, Muosha Rungu, what was your Target (vision) baada ya kukubali kulelewa, namaanisha ulichokuwa unafikiria ama kuchukulia kama mpango wako katika maisha ya baadae KI-Mahusiano....!?

Experience yangu, juu ya mahusiano ya namna hii, ni Nadra (mara chache) KUDUMU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgodo visa
Kumbuka Mimi ndiye niliyemtongoza Huyo dada club ingawa yeye alionesha kuvutiwa Na mm kwanza ila nilichukua jukumu la kiume kutongoza
Alikuwa classical anavutia Na mzuri ambaye kuoa unajipa kazi mithili ya kulima miwa jirani Na shule!
So nilimpenda

Sikuwa Na vision yeyote naye zaidi ya kupass time Na Ku enjoy life la ujana!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom