Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Kumbe ndio maana...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Uliweza vip kujigandua maana alikua akienda kumkaza mbunge na ww anakukaza kidogo au bado upo nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini akuombe umrudishie?

post using my macbook air using jamiiforums app
Namimi nilishangaa sana yani alinibembeleza sana nisimuache aliponiona nimegoma ndio akageuza kibao kuwa nimlipe baadhi ya pesa zake alizonipatia taslimu ila badae niligundua hana chochote naametokea familia yakawaida2 sema mtu akiwa anasoma mbali nakwao huwa wanamjali ndugu kumtumia pesa nandizo hizo alizokuwa ananipatia
 
Me na Mario mbali mbali asee, me mwenyewe natafuta wa kunifadhili[emoji23] [emoji23]

Mjini kugumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaka huyo mtoto ndio yule asiyeongea au!!!?, kumbe ndio maana humuachi ee!? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…