Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtamu balaah...tafuta jaribuSijawahi fikiria kudate na mtu niliyemzid umri.
Age is nothing but a number, lakini kila mtu na perception yake.
Nimeshindwa kutambua jinsia yako mpaka unipe hiyo experience
Uliweza vip kujigandua maana alikua akienda kumkaza mbunge na ww anakukaza kidogo au bado upo nae?Wapenzi mambo!
Katika maisha yangu niliwahi kupendwa Na dada mmoja pale makao makuu ya nchi yetu! Dodoma!
Nikiwa mwanafunzi Wa Udom
Alikuwa ananipa kila kitu kuanzia
Chakula mavaz matibabu pocket money Na mambo kibao kiasi kwamba sikutegemea boom kabisa!
Niligeuka saccos kwa marafiki zangu niliwafadhili sana!
Ilifikia kipindi nilihama chuo hostels Na kuhamia nyumbani kwake!
Alikua mtu Wa bata sana kila weekend tupo club maisha club au club 84.
Kwao nilijulikana hadi kijijini Na aliniamini sana!
Alikuwa Na maduka 2 ya nguo Na saloon ya kike ya kisasa Wateja wake wakuu wakiwa waheshimiwa!
Siku moja akaniambia Mali zote hizo
Zimetokana Na mbunge mmoja ambaye anatumika kisawa sawa!
Nakumbuka siku moja alisafiri kwa tren hadi kigoma kwa mtaalamu!
Ili kumdhibiti vizuri mhe.
Wanaume wenzangu wanao lelewa au waliwahi kulelewa Na wadada au majimama tupeni story pia faida Na hasara zake!
DJ sepetu
Namimi nilishangaa sana yani alinibembeleza sana nisimuache aliponiona nimegoma ndio akageuza kibao kuwa nimlipe baadhi ya pesa zake alizonipatia taslimu ila badae niligundua hana chochote naametokea familia yakawaida2 sema mtu akiwa anasoma mbali nakwao huwa wanamjali ndugu kumtumia pesa nandizo hizo alizokuwa ananipatiaKwanini akuombe umrudishie?
post using my macbook air using jamiiforums app
NonsenseUliweza vip kujigandua maana alikua akienda kumkaza mbunge na ww anakukaza kidogo au bado upo nae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini kugumu[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Me na Mario mbali mbali asee, me mwenyewe natafuta wa kunifadhili[emoji23] [emoji23]Witii naomba unilee jamanii mm ni kijana mtiifu kuliko bashite kwa sizonje, mwanaume mashine kuliko msaga sumu, Handsome boy Kuliko Har
Harmorapa, Nitakupenda na kukuthamini Kuliko ripoti ya Almasi na makiniki, Ukiwa na mm utapata raha zote kama uko Google, nina penzi tamu kama utamu wa kuchokonoa sikio..
MPENZI WITI NAOMBA UNILEEE TAFADHARII..
Naomba unikopeshe 50 hapo[emoji12]Kifedha
Me na Mario mbali mbali asee, me mwenyewe natafuta wa kunifadhili[emoji23] [emoji23]
Mjini kugumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheh maisha ni wewe utavyoamua kuishi tu mjini msingi kiuno, nakumbuka zamani enzi za high school tulikuwa tunamichezo ya kuwinda watoto wa kishua kwa hali na mali tulikuwa tupo ladhi hata kufake life ilimradi mtoto wa kike aingie king,
Tulikuwa tunajiweka karibu nao ilimradi tuende nao sawa lakini ukimpata, unamuonyesha maujanja yote unayoyajua ili mtoto asikuache huko kitandani lazima aombe pooo, and the good thing by that time watoto wakishua wengi walikuwa hawajui kitu kuhusu mapenzi kiufupi wengi wao walikuwa bikra,
bhas ukimuonjesha raha ya ukuni mtoto akaelewa shoo atakuganda kama ruba, na yupo radhi akupe chochote unachokitaka ili usimuache, sisahau siku nilipokoswa koswa na risasi mitaa ya masaki mtoto karudi likizo kisha kanialika kwao huku akinihakikishia wazazi wake wote hawapo siku nzima yupo na beki tatu wao tu, mzee nikajitanua kama kwangu mzee, mtoto wa mbagala siku hiyo nikala mzigo mbaka kwenye jakuzi, lol ,
kumbe mzee wake alipata dharura ikabidi arudi nyumbani , kilichotokea usitake kujua ila nilikoswa koswa na mguu wa kuku mzee. Miaka inaenda mbaka sasa nipo na hako katoto unaambiwa sijui ndo kamenioa hata sielewi, she give me everything ninachotaka, anachohitaji yeye ni true love bhas, bhasi vile na mimi napenda ukitonga nampa kile anachokihitaji na maisha yanaendelea, kwangu mimi najiona ni mwenye bahati na sifichi kusema mimi ni Mariooooooooo ( Dogo aslay voice)