Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Me sipendagi ingawa imeshanitokea km mara mbili au tatu lkn I LIKE TO STAND ON MY OWN FEET AND FIGHT TO GET WHATS MINE!

Ugiligili
Sikatai kuwa kila mtu anapenda kujitegemea ila unakuta dada mwenyewe anajisikia kukufadhili tu

DJ sepetu
 
Faida kuu ni kutokua na stress ya mahitaji ya kiuchumi.

Hasara
1. Vibao hadharani uvumilie.
2. Uhuru wako ndiyo bai bai
3. Unakua sex machine.
4. Upishi, kulinda na kutunza nyumba ni wewe.
5. Kama Kala Jeremiah alivyosema "Mwanamke hawezi kukutoa labda akupe hela ya pombe, jeans, tshirt na mdosho supra"
Hizo hasara nyingi zinatokea kwa wasiojielewa

DJ sepetu
 
Sikatai kuwa kila mtu anapenda kujitegemea ila unakuta dada mwenyewe anajisikia kukufadhili tu

DJ sepetu
Me huwa namtengenezea mazingira hadi anapunguza au kuacha kabisa..sipendi siku tutakapoachana aanze kuzungumzia/kuninyang'anya vitu alivyonipa..maana Wanawake hawashindwi kukutangaza mtaa mzima kwamba alikuwa anakuhudumia..ni aibu kwa mwanaume WA MKOANI kama MIMI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ugiligili
 
Me nilimpata demu wahivyo ila nilipotaka kumuacha alinianza kunidai pesa zake zote ikanibidi niwe nae2 ila nilipojipanga kumuacha nilimpatia baadhi yapesa zake ila kiukwel alikuwa ananidharau kwakiasi fulani yani alikuwa ananiita kananii yani kama kadogo fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Witii naomba unilee jamanii mm ni kijana mtiifu kuliko bashite kwa sizonje, mwanaume mashine kuliko msaga sumu, Handsome boy Kuliko Har
Haaaa haa eti sina jipya mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Harmorapa, Nitakupenda na kukuthamini Kuliko ripoti ya Almasi na makiniki, Ukiwa na mm utapata raha zote kama uko Google, nina penzi tamu kama utamu wa kuchokonoa sikio..

MPENZI WITI NAOMBA UNILEEE TAFADHARII..
 
[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Me nilimpata demu wahivyo ila nilipotaka kumuacha alinianza kunidai pesa zake zote ikanibidi niwe nae2 ila nilipojipanga kumuacha nilimpatia baadhi yapesa zake ila kiukwel alikuwa ananidharau kwakiasi fulani yani alikuwa ananiita kananii yani kama kadogo fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo heshima hana Na mlalahoi demu Wa ukweli hadai

DJ sepetu
 
Huyo heshima hana Na mlalahoi demu Wa ukweli hadai

DJ sepetu
Nakubaliana nawewe 100% nilikuja kugundua badae kuwa hana lolote alikuwa anajikweza sana mara hooo sijui nyumban tunamagar yasijui mangap mara hoo kila mwez baba ananitumia mihela mingimingi yani nimtu waproud sana kumbe kapuku kama mimi2 nilipogundua hilo nikaamua kumpiga chini

Ulifanya poa!
Nadhan alikuwa hana confidence

DJ sepetu
 
Heheh maisha ni wewe utavyoamua kuishi tu mjini msingi kiuno, nakumbuka zamani enzi za high school tulikuwa tunamichezo ya kuwinda watoto wa kishua kwa hali na mali tulikuwa tupo ladhi hata kufake life ilimradi mtoto wa kike aingie king,

Tulikuwa tunajiweka karibu nao ilimradi tuende nao sawa lakini ukimpata, unamuonyesha maujanja yote unayoyajua ili mtoto asikuache huko kitandani lazima aombe pooo, and the good thing by that time watoto wakishua wengi walikuwa hawajui kitu kuhusu mapenzi kiufupi wengi wao walikuwa bikra,

bhas ukimuonjesha raha ya ukuni mtoto akaelewa shoo atakuganda kama ruba, na yupo radhi akupe chochote unachokitaka ili usimuache, sisahau siku nilipokoswa koswa na risasi mitaa ya masaki mtoto karudi likizo kisha kanialika kwao huku akinihakikishia wazazi wake wote hawapo siku nzima yupo na beki tatu wao tu, mzee nikajitanua kama kwangu mzee, mtoto wa mbagala siku hiyo nikala mzigo mbaka kwenye jakuzi, lol ,

kumbe mzee wake alipata dharura ikabidi arudi nyumbani , kilichotokea usitake kujua ila nilikoswa koswa na mguu wa kuku mzee. Miaka inaenda mbaka sasa nipo na hako katoto unaambiwa sijui ndo kamenioa hata sielewi, she give me everything ninachotaka, anachohitaji yeye ni true love bhas, bhasi vile na mimi napenda ukitonga nampa kile anachokihitaji na maisha yanaendelea, kwangu mimi najiona ni mwenye bahati na sifichi kusema mimi ni Mariooooooooo ( Dogo aslay voice)
 
kama utaitumia fursa vzuri inawezekana ikawa ndo njia yako ya kutoka ila wengi wanajisahau wanajua haya mambo huwa yanakaa milele.kumbe ni upepo tu unaopita
 
Back
Top Bottom