Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sasa hivi umeachaIlikuwa 2015 mkuu
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hivi umeachaIlikuwa 2015 mkuu
DJ sepetu
Sikatai kuwa kila mtu anapenda kujitegemea ila unakuta dada mwenyewe anajisikia kukufadhili tuMe sipendagi ingawa imeshanitokea km mara mbili au tatu lkn I LIKE TO STAND ON MY OWN FEET AND FIGHT TO GET WHATS MINE!
Ugiligili
Hizo hasara nyingi zinatokea kwa wasiojielewaFaida kuu ni kutokua na stress ya mahitaji ya kiuchumi.
Hasara
1. Vibao hadharani uvumilie.
2. Uhuru wako ndiyo bai bai
3. Unakua sex machine.
4. Upishi, kulinda na kutunza nyumba ni wewe.
5. Kama Kala Jeremiah alivyosema "Mwanamke hawezi kukutoa labda akupe hela ya pombe, jeans, tshirt na mdosho supra"
Me huwa namtengenezea mazingira hadi anapunguza au kuacha kabisa..sipendi siku tutakapoachana aanze kuzungumzia/kuninyang'anya vitu alivyonipa..maana Wanawake hawashindwi kukutangaza mtaa mzima kwamba alikuwa anakuhudumia..ni aibu kwa mwanaume WA MKOANI kama MIMI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikatai kuwa kila mtu anapenda kujitegemea ila unakuta dada mwenyewe anajisikia kukufadhili tu
DJ sepetu
Harmorapa, Nitakupenda na kukuthamini Kuliko ripoti ya Almasi na makiniki, Ukiwa na mm utapata raha zote kama uko Google, nina penzi tamu kama utamu wa kuchokonoa sikio..
[emoji23] [emoji23]Witii naomba unilee jamanii mm ni kijana mtiifu kuliko bashite kwa sizonje, mwanaume mashine kuliko msaga sumu, Handsome boy Kuliko Har
Harmorapa, Nitakupenda na kukuthamini Kuliko ripoti ya Almasi na makiniki, Ukiwa na mm utapata raha zote kama uko Google, nina penzi tamu kama utamu wa kuchokonoa sikio..
MPENZI WITI NAOMBA UNILEEE TAFADHARII..
Huyo heshima hana Na mlalahoi demu Wa ukweli hadaiMe nilimpata demu wahivyo ila nilipotaka kumuacha alinianza kunidai pesa zake zote ikanibidi niwe nae2 ila nilipojipanga kumuacha nilimpatia baadhi yapesa zake ila kiukwel alikuwa ananidharau kwakiasi fulani yani alikuwa ananiita kananii yani kama kadogo fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana we bado kijana mdg??[emoji16]Ilikuwa 2015 mkuu
DJ sepetu
We jamaaa mchochez sanaMimi nasubiri nilelewe na Miss Natafuta kama anavyokalea kabenten fulani sasa hivi!
Nakubaliana nawewe 100% nilikuja kugundua badae kuwa hana lolote alikuwa anajikweza sana mara hooo sijui nyumban tunamagar yasijui mangap mara hoo kila mwez baba ananitumia mihela mingimingi yani nimtu waproud sana kumbe kapuku kama mimi2 nilipogundua hilo nikaamua kumpiga chiniHuyo heshima hana Na mlalahoi demu Wa ukweli hadai
DJ sepetu
Usije kunililia hapa ukiomba nikusaidie kuomba msamahaFaida kwangu ilikuwa maisha yalikuwa mteremko sana
Hasara ni kuwa taaluma yangu iliyumba sana
DJ sepetu
Ulifanya poa!Nakubaliana nawewe 100% nilikuja kugundua badae kuwa hana lolote alikuwa anajikweza sana mara hooo sijui nyumban tunamagar yasijui mangap mara hoo kila mwez baba ananitumia mihela mingimingi yani nimtu waproud sana kumbe kapuku kama mimi2 nilipogundua hilo nikaamua kumpiga chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie bas namba ya shem wangu nina zawad yakeHapana Moneytalk anajua so tuna share experience nanyupu!
DJ sepetu
Nitumie za mbitiyaza kwanzaNitumie bas namba ya shem wangu nina zawad yake
Lakin natanguliza samahan
Sent using Jamii Forums mobile app