Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kajiandaeee ila usini seduce me 😀Safi tu sema nitakutafuta [emoji23]
Mariooo wengi wanaishiwaga kutatuliwa marinda na mabasha wa hao wanawake wanaowafuga, sasa subiri zamu yako beiiiiiibeeeeeeeee [emoji104][emoji104][emoji104]Vipi viliwe beeeiiibeeee
DJ sepetu
Fungua ila Na ile Huduma ya kati utawapa wote?Kuja pm sio tatizo tatizo ni aina ya ujumbe nitakao upokea ukiwa ni wakipuuzi sitojibu ila ukiwa na mantiki hakika nitajibu.
Nimelimiti kwa sababu ya maisha magumu mtaani 2021. Kuna foleni kubwa ipo nyuma ya kuwalea vibeni 10 au nifungue kituo cha kulea viben 10. Hahahaaaaa....
Nimeshajiaandaa kisaikolojia kufa after hiyo ten years maana hakuna cha bure hapa duniani[emoji23]Sawa kajiandaeee ila usini seduce me 😀
Vingi tuUnamsaidia vitu gani mpaka sasa
DJ sepetu
Hahaha sio kweli mfano Huyo dada alimweleza mh mbunge kuwa mm mdogo wake!Mariooo wengi wanaishiwaga kutatuliwa marinda na mabasha wa hao wanawake wanaowafuga, sasa subiri zamu yako beiiiiiibeeeeeeeee [emoji104][emoji104][emoji104]
Tuma kwanza wewe nitakutumia tuNitumie za mbitiyaza kwanza
DJ sepetu
Hahahaha beiiibe sikuweziHahaha sio kweli mfano Huyo dada alimweleza mh mbunge kuwa mm mdogo wake!
Alikuwa akija ananipa mihela kibao akijua Shem kumbe mume mwenzie
DJ sepetu
Et nini hebu rudiaNa mimi natafuta kiben 10 cha kumlea mpaka 2021.
Kusaidiana kupo na ni kawaida kwa watu mko kwenye mahusiano na mnapendana.Mtonyo mkubwa uliowahi kumpa ni tsh ngapi?
DJ sepetu
Mimi ninayo ishilin na moja nije pm?Bado mdogo sana ukifika 20 miaka nitafute nikulee kwa miaka 10. Hahaaaa