Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wanaume waliowahi kuolewa au kufungwa Na wanawake

Wengi huchanganya kati ya umarioo Na mapenzi

DJ sepetu
 
Umarioo ni kujiweka kwa mwanamke ili upate kitu

DJ sepetu
 
Tofauti ni kuwa wakati Marioo hana humgeuza mwanamke kama tegemeo mapenzi mwanamke anakukubali Na kuamua kukusaidia ili uvuke hatua flan mf shule

DJ sepetu
 
Me nilimpata demu wahivyo ila nilipotaka kumuacha alinianza kunidai pesa zake zote ikanibidi niwe nae2 ila nilipojipanga kumuacha nilimpatia baadhi yapesa zake ila kiukwel alikuwa ananidharau kwakiasi fulani yani alikuwa ananiita kananii yani kama kadogo fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini akuombe umrudishie?

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Witii naomba unilee jamanii mm ni kijana mtiifu kuliko bashite kwa sizonje, mwanaume mashine kuliko msaga sumu, Handsome boy Kuliko Har
Harmorapa, Nitakupenda na kukuthamini Kuliko ripoti ya Almasi na makiniki, Ukiwa na mm utapata raha zote kama uko Google, nina penzi tamu kama utamu wa kuchokonoa sikio..

MPENZI WITI NAOMBA UNILEEE TAFADHARII..
Mtongozo uliotukuka [emoji23] [emoji23] [emoji23]

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Miss natafuta alisema kuwa anatafut mwanaume Wa kumuweka ndani

DJ sepetu
 
Wadada mliowahi kuweka ndani Na kuwahudumia wapenzi wenu njooni mtuambie

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom