Wanaume walivyo kwenye mitandao

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Wanaume huku kwenye mitandao ya kijamii ni ma"handsome" na wako "smart" sana, ila ukikutana nao nje ya hii mitandao ya kijamii utampa tu Kristo maisha yako.
Utakuta kimwanaume huku kinavimbaa kina act kipo smart lakini sivyo kabisa,uhalisia wake unakuta ni mtu wa ovyo,yupo rough,hana hela anaunga unga tu maisha

Badilikeni mtafute pesa
 
Nanitena kukula bure...?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Naomba tuonane dada mzuri halafu ntaomba uje utoe ushuhuda hapa, na mimi nitatoa ushuhuda pia kama una pozi au maneno tyuuuuu
 
Hahahaaa hii kali, natamani nikutane nao nijionee
 
Polee sana kwa yanayokukuta kila mara!

Usijali ipo siku utampata Mwanaume sahihi kwako
 
Huyu kritka naona genye zinamsumbua... Akilala anawaza wnaume akiamka wanaume... Wats wrong with u madam?
 
Na wanawake pia mbadilike mtafute pesa zenu wenyewe
 
Babu niko mlimani huku... nawaombea mabinti ... hasa hawa wanaoshobokea kulambwa na wanaume tofauti ili wapate malipo ya kulambwa kwao...

Mabinti zangu wanataabika kwa kulinganisha wayapatayo kwa wakware kwa yale waliyoyatarajia...

Ee Bwana Mungu sikia sala na dua zangu

Sikia ee Bwana...
 
bby angu hyo katika ubora wake love you
 
Pole sana wee hujakutana tuu na mimi[emoji144] [emoji144]
 
Ushakopwa kudadek [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Respect men
Wanaume sio wajinga ila wanaamua kwenda na mwendo wenu.
Wewe mwenyewe umeji-feki feki kuanzia kope, rangi n.k

Ukisema tutafute hela hautulishi wewe sana sana sisi ndo tunalisha wanawake.

Nyinyi ndio mtafute hela maana mkipata mwanaume mnajifanya mayatima[emoji23] [emoji23]
 
mkuu safari yetu ilianzia PM ingefaa iishie PM... Sasa kuleta hapa ndio nini!!? Nimekumind kinomanoma yaanπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…