Wanaume walivyo kwenye mitandao


Weka ushahidi wengi hatuko hivyo bana
 
Kuna harufu ya Damu huku,kasachinjwa mutu <<<<<
 
Unaonekana unawasema na wadada pia, maana avatar zao zinavutia kweli na wanaonekana na busara, ila asee...Mungu ni Mwema Siku Zote
 
Hata wadada wa huku social media ni warembo, wanavutia wanaishi maisha ya kitajiri na unatamani kuwaangalia muda wote ila tatizo mtaani hawaonekani sijui wanaishi huko huko kijiji cha social media.

Enyi wadada warembo wa social media njooni na mtaani basi.
 
Na wanawake pia mbadilike mtafute pesa zenu wenyewe
Hiyo ndoto hawajawahi kuiota, zile mbio za tukiwezeshwa tunaweza ni janja tu ya kuonekana wanajitahidi hata kuuza karanga, ila pesa yao inaishia kwenye mchezo ikitoka kwenye mchezo inaenda wapi nobody knows,
 
Hahaha she has a point though... behind the keyboard kila mtu anavimba, wake kwa waume... kumbe in reality hahaha utachoka...


Thanks God mahondaw wangu i found you the way you are and how you are... love you sana... i consider myself lucky...

thanks jamaniiii... thanks sana
 
Aiseee mm huwa nakutana na wenye nazo tu
 
Una umri gani bi dada.! Nakushangaa kuona mwanaume amechakaa wakati yupo anatimiza andiko la kula kwa jasho harafu wewe usubiri la kuzaa kwa uchungu. Au unataka vibaka ambao hata wakiiba hawaonyeshi kitu cha maana zaidi ya kupendeza na kubugia madawa ya kulevya.
ACHA UTOTO narudia tena acha utoto
 
Umezunguka sana mbuyu. Hapo kwenye pesa ndio kusudio kuu
 
Wengi wao ndio hivyo ila kujitapa sasa humu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…