Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Amina ndio nani?Mwijaku akianza mdomo tu wanamwambia unatafunwa,Alisema Nay wa Mitego sasa hivi Amina,inawezekana jamaa ni mashine yenye injin nyuma kweli
Nadhani ni mke wa alikibaHuyo Amina ndio nani?
Mke wa Ali kibaHuyo Amina ndio nani?
Ulimalizia story?Binafsi, nafkiri tatizo kubwa ni Mazingira ya makuzi ya mtoto.
Mbili, ni Tamaa na kujipendekeza: hii inasababisha kuongea mambo ya kiumbe umbea mbele ya mtu au kundi la watu.
Wanaume tumebaki wachache na kila siku nawaambia hawa wanawake waache maringo.. ipo siku watakosa wa kuwapump.
Ipi hiyo? Au ile ya Mke wa mtu?Ulimalizia story?
Hakika vijiweni badala ya kupata madini ni masengenyo na umbea tu. Hakuna jipyaHili tatizo ni kubwa mno,ukiona wanaume wako kijiwenu asubuhi mpk jioni mara kwa mara tambua hapo masengenyo yanayopigwa sio ya kitoto...kuna mahali niliwahi ishi,jioni moja nikasema ngoja nikapate elimu mpya ya maisha kwenye kijiwe kimoja cha vijana mchanganyiko wa umri(watu wazima na vijana),..mada nilizokuta pale na kusema watu..tangu ile siku nili azimia nikitoka kwenye majukumu yangu ni nyumbani...bora nikae hapo kutwa nicheki TV...kibaya huyu anayemsengenya mwenzie kazidiwa mbali kimaisha...ukiwa na changamoto ya kimaisha Muombe Mungu wako akusaidie...kinyume na hapo utakua bango la matangazo either ofisini au mtaani kwako.
NdioIpi hiyo? Au ile ya Mke wa mtu?
Haijaisha.. naendelea nayo.. 😂Ndio
Mkuu naunga mkono hoja, ila hata wale wasiofanya hayo wanayafuatilia kisirisiri.
[emoji28][emoji28]inaogopesha kuwa mzazi wa mtoto wa kiume,Mungu tusaidieSi mna usasa mwingi, mnamuacha mtoto aamue chochote atakacho.
Toto la kiume la miaka 10 linaita momy na dady kwa mideko wewe unaona sawa.
Mitoto ya sasa haina michezo yoyote zaidi ya ipad, iimenenepa makalio na kuota vitambi vya broila.
Mnajidai mna malezi ya kisasa eti mtoto hachapwi wala hafokewi ila anaelekezwa tu.