Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
Habari wakuu,
Nilipata likizo ya muda ila leo nimepamiss sana JF.
Haya sasa leo nimefika tu kazini asubui kwa kuchelewa nikagundua jumatano ya leo ni ya kipekee sana, yaani asubui tu tumeanza kupiga stori za maisha na mahusiano.
Tulianza kwa mabishano makubwa sana ila nikaja kukubali kuwasikiliza wenzetu wanaume wao wanachukizwa na kitu gani kwa wanawake lakini pia ni kitu gani wanahisi hata wao kama wanaume wanakosea au wanakuwa wadhaifu kwa upande huo.
Mambo ambayo wamekubali kuwa wanaume wanakosea au wanayumba
1. Mwanaume asiyewajibika (Irresponsible man)
Wapo wanaume ambao wanakimbia majukumu yaani yeye akipata tu hela haonekani hata wiki nzima akimaliza ndo anardi nyumbani, wengine ni wale ambao kampa mtu ujauziti then anatoweka jambo linalosababisha mtoto kulelewa kwa chuki
2. Mwanaume asiye na Heshima
Wana wanasema hata kama mwanaume unacheat kiasi gani when it comes to your wife weka heshima, siyo unafka nyumbani ndo unaweka hadharani kwamba wewe ni mzee wa pisi nyingi huko nje
3. Mwanaume asiye na Msimamo
Mwanaume ndiye kichwa unatakiwa uwe na msimamo aidha iwe kwenye mahusiano au ndoa. Kuna watu yaani wazazi wakimkataa demu wake na yeye ndo basi tena au unakuta jamaa ila kitu anamwachia mwanamke wake ndo afanye maamuzi
Mambo ambayo wametaja kwamba wanawake wanakosea au wanayumba
1. Mdomo
Wana wanasema wanawake wengi kinachowaponza ni kamdomo, yaani jamaa unatoka kazini unafika nyumbani mke au mchumba ni kama cherehani utakumbushiwa hadi vitu vya miaka 10 iliyopita kwenye mahusiano yenu apo kama kuna kitu umezingua
-Wanaume hawapendi kelele
2. Kuto-appreciate (kukosa shukurani)
Kuna jamaa yangu kasema kuna siku alinunua simu alipofika nyumbani akarushiwa dongo wakati yeye mwenyewe ndo aliyenunua simu anayotumia huyo mwanamke wake.
3. Kususa
Jamaa mmoja kasema kuna wanawake ambao mkikosana tu kidogo kashabeba virago anaondoka
4. Mwanamke anayesikiliza sana marafiki au wazazi wake
Wanasema kuna wanawake ambao una kuta kila maamuzi wanayofanya yamechangiwa na marafiki zakke au wazazi wake yaani hawana msimamo wao binafsi kwaiyo utakuta kila jambo lenu watu wa nje wanafahamu
Vipi tunakubaliana na haya waliyoyasema?