mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen
Badilika
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kila anaeingia baa ni mlevi we vpNi jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen
Badilika
Sent using Jamii Forums mobile app