Wanaume wanahesabika siku hizi

Wanaume wanahesabika siku hizi

sijawahi kunywa maji bar...

nahisi inahitaji ujasiri sana kwenda bar na kunywa kinywaji ambacho unaweza hata ukawa kwenye official meeting na ukakibugia bila wasiwasi 😂
 
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani

Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen

Badilika


Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG-20180825-WA0162.jpg


Jr[emoji769]
 
Pombe inafika mahali unaiacha automatically. Mwombe Mungu sana uiache. ile kitu ni shetani kabisa aisee.
 
Back
Top Bottom