Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #61
ngumu kumezaUwe na antidote ya wanaodindisha sasa itapendeza zaidi.
thank you MachungwaMoney Penny you're so beautiful.
kuguna vepe?Duuuuuh!!!
sijuiKwa hiyo tukidinda unafurahi?
kiru
umeisajili TCRA usije ukalala rumande.Officialmoneystars.com
me mwenyewe rumandeumeisajili TCRA usije ukalala rumande.
Mi naona mbili mbiliKwan we wanaje? !
Aisee, mkiipata hiyo story msisahau kunitag naisubiri kwa hamu
Cc Kichwa Kichafu
Google dyudyu utaionaMoney penny
Ebu weka picha kwanza hiko kinachodinda
Njoo kwenye website yangu uone kama nina stori za utumbo
Kaitafute ya Money penny ni nani uisome piaNishakuja nikasoma ya punda mwana punda na rafiki yako Harriety
Kaitafute ya Money penny ni nani uisome pia
Endelea kuangalia older stories itakujaNimefukunyua kunastory moja tu
Endelea kuangalia older stories itakuja
Eh hataree.. hahaha eti karembo karembo angalau navutiaNilikua siamini kama wewe ni KE ila leo ndo nimeamini tena mrembomrembo angalau unavutia kidogo.
Nikuulize kaswali, vipi umeolewa?
Ndoa ya miaka 30 kwa umri wako unaitoa wapi? Yaani umeolewa ukiwa na miaka 0.Eh hataree.. hahaha eti kazuri kazuri
Sema mimi mzuri bwana kwan si najijua me mzuri je
Alafu Nina miaka 48 hapo ungenikuta nikiwa na miaka 20 usingeniachia
niliolewa miaka 30 iliopita
Ni mke wa mume mmoja
Mama watoto 3
Bibi wa wajukuu 5
Nina ndoa ya miaka 30 kwa sasa