Wanaume wanalalamika wakisoma Stori/Hadithi zangu za Mapenzi Wanadinda!

Wanaume wanalalamika wakisoma Stori/Hadithi zangu za Mapenzi Wanadinda!

Nilikua siamini kama wewe ni KE ila leo ndo nimeamini tena mrembomrembo angalau unavutia kidogo.

Nikuulize kaswali, vipi umeolewa?
Eh hataree.. hahaha eti karembo karembo angalau navutia
Sema mimi mzuri ... ndio je Mimi ni mzuri sio wa sura tu na roho...Mimi ni zaidi ya mrembo na hapo hujaniona live ...

Hata usiposema mimi Mzuri najijua kuwa ni Mzuri.. sihitaji your opinion to keep me going I know who I am

Nishakwambia nina miaka 48
niliolewa miaka 30 iliopita
Ni mke wa mume mmoja
Mama watoto 3
Bibi wa wajukuu 5
Nina ndoa ya miaka 30 mpaka sasa

Kama ulizoea kuwaona wanawake wenye ndoa ya miaka 30 kijijini kwenu wamechoooka sio Mimi..

Cc: Honey 50thebe
 
Eh hataree.. hahaha eti kazuri kazuri
Sema mimi mzuri bwana kwan si najijua me mzuri je
Alafu Nina miaka 48 hapo ungenikuta nikiwa na miaka 20 usingeniachia
niliolewa miaka 30 iliopita
Ni mke wa mume mmoja
Mama watoto 3
Bibi wa wajukuu 5
Nina ndoa ya miaka 30 kwa sasa
Ndoa ya miaka 30 kwa umri wako unaitoa wapi? Yaani umeolewa ukiwa na miaka 0.

Lengo la kukuuliza lilikua ni kukupiga swali baadae, unatoaje ushauri kwa wanawake walioolewa wakati wewe hujui hata shida ya ndoa huoni kama huna maneno ya kukufanya ukaeleweka nao?
 
Back
Top Bottom