Wanaume wanalalamika wakisoma Stori/Hadithi zangu za Mapenzi Wanadinda!

Wanaume Buana!
Wengi wananilalamikia PM kuwa wakisoma stori/hadithi zangu hapa JF na Kwenye Website yangu huwa wanadinda .
Kudinda huko vepe?
Mimi mbona naandika hadithi za clean version?! PG 16-20
Sa nikiandika za PG-30 si mtazini kabisa? !
Au mnataka kunitafutia sababu tu hamna lolote mnanizingua?!
Alafu wengine mkimaliza kusoma hadithi zangu mnaenda YouTube Channel yangu mnaanza kunibashia
Vbaya ivyo Mungu hapendi ivyo
Mambo ya kubakana ni dhambi mjue
Mimi mama yenu oooo
We umejuaje zimedinda
 
hahahh wamama ndio watamu
 
Back
Top Bottom