Wanaume wananitoroka kwa sababu ya ndevu

 
"Ujana ni nusu ya uwendawazimu"
Mungu anisamehe...

Yaani mwanamke awe na ndevu na mimi niwe na ndevu...

Tunaangaliana sote tuna ndevu...Siku mashine yake ya kunyolea haioni anatumia ya kwangu!!!

Kwangu hapana!
 
Za kawaida sana mi nilifikiri kama buring spear hapo ningeshangaa sana
 
watu wanaowa shemale ije kuwa ndevu labda kama huna chura.

Shemale/tranny/transgender/sisy ni wanaume mashoga walioamua kubadilisha maumbile kama kutumia homoni za kike ili wapate maumbile ya kike kama kutoota ndevu, kulegeza sauti n.k pia wamefanya surgery kujiwekea matiti na kuongeza makalio na hips.

Hivyo mwanaume anayetembea na shemale nae ni shoga tu. Tranny wanajibadilisha vitu vingi mwilini ila wanashindwa kuondoa uume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…