Wanaume wananitoroka kwa sababu ya ndevu

Wanaume wananitoroka kwa sababu ya ndevu

Kuna dada mmoja wa Mbeya, sio kwa ndevu zile. Ukimuona kwa mbali na shape lake sio poa, akikukaribia dadeq sio poa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkuuu acha roho mbaya
 
Alafu unakuta Kuna mwanaume Hana ndevu, Sasa haraka ilikua ya nini? Si mngesubiri tu muumbwe wanawake
 
Alafu unakuta Kuna mwanaume Hana ndevu, Sasa haraka ilikua ya nini? Si mngesubiri tu muumbwe wanawake
asiye na ndevu huyo bado ni kijana sifa ya kwanza kuwa mwanaume ndevu lazima zihusike
 
Ni nadra sana Demu awe na ndevu halafu awe mrembo

Nafikiri wanakimbia kwa sababu kama hizo.
 
Back
Top Bottom