wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

soledad

Senior Member
Joined
Sep 17, 2011
Posts
110
Reaction score
29
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo
.

Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?
 
vigezo vyako ndo vinavyokuangusha
Unategemea umpate mr perfect na hilo ni tatizo
Kwani umeambiwa mume ni elimu au status yake kwenye jamii au uhandsome wake ndani ya nyumba
naweza nikasema unachagua sana na mwishowe utampata mwenye hivyo vigezo vyako na atakuwa korona sio nazi
Mume sio hayo na wala hapimwi kwa hayo kuna mengine ya kuangalia kabla ya kuweka vigezo vya sijui elimu sijui status sijui nini
 
nazan tatizo lako ....limepta mfumbuzi ambae ni mm ni PM kama uko sirias tuchati
 
fuata moyo wangu na bado hujachelewa,i believe the man of ur type is around the corner,kama umekuwa mwaminifu siku zote huwezi kosa na Mungu atakupa sawa na haja ya moyo wako,usiwe mbaguzi tu ila maisha hujengwa na wenye nia moja,upendo wa kweli,matarajio yanayofanana,lakini usipange mipango pekee yako halafu ndo iwe mipango ya pamoja,kuwa flexible kwa baadhi ya mambo ili muwe pamoja.otherwise nakuombea umpande mwenye kufanana nawe.God bless you!
 
Nenda makao makuu ya chama utamkuta katibu ataita vyombo vya habari atakupa kadi basi mahusiano yatakuwa tayari yameanza.Am serious
 
wanaume, kusoma hamjui na picha nyao kuzama mkajua kama huyu ni jk kapanda guta napo tabu?? hebu mueleweni huyu dada na mumsaidie kukidhi yake haja!
 
Nahisi unajua tayari tatizo lako,sasa hebu uliza swali ili tukujibu.
 
tupia izo status zako na izo education tukushauri uende waoi utapata wa kufanana na wewe.usisahau kugusia tabia yako.
 
wanaume, kusoma hamjui na picha nyao kuzama mkajua kama huyu ni jk kapanda guta napo tabu?? Hebu mueleweni huyu dada na mumsaidie kukidhi yake haja!

cacico nani anataka mambo ya kupimana status,mwache akae benchi kwanza, akigusa thirty atapunguza vigezo na masharti lolest!!
 
Acha umalaya,ukimwi unaua we kijana,kumbuka ndugu wangapi wako wamekufa na ukimwi?

hamna ndugu yangu aliyekufa na ukimwi....sasa wewe hutaki mimi nimsaidie wakati sifa ninazo.....yeye sifa ya ukimwi hana ndo maana na mimi nimemkubali ingawa sijui sura yake
 
wewe una tatizo la kujitambua kwanza
ukiweza hilo utatatua tatizo lako kwa urahisi

Boss umenena kaka,na kwa sabababu ajajitambua simshauri atafute mme kwanza,cause hajui anaenda kufanya nini katika ndoa
 
The Boss kujitambua kwa namna gani? mie naona najitambua ndo maana siwezi kuwa na mtu yeyote ingawa this is the perfect time tena naona nimechelewa. Mimi nafikiri hivi my men anatakiwa awe rafiki yangu tufanane hata tuvyoona mambo na kufikiri yaani hata tuwe tunazungumza lugha moja mitazamo inaenda pamoja tusaidiane pamoja kufikia our vission. sasa kinachoni embarasse ni kufuatwa na watoto ! mtu yuko 3rd year and am working for more than a year ,nikifikiria sielewi au naonekanaje sijui.
 
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo
.

Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?

Aisee !. Du, huwezi kufanikiwa maifrendi. Kwanza wewe ni mbaguzi wa elimu. Kwani darasa likiwa dogo, hawezi kujiendeleza? Elimu haina mwisho. Ni mpangilio tu. Tatizo kubwa ndo hilo. Kuhusu umri si neno. Lbda kama wewe unadhani kwa kuwa na umri mdogo, hawezi mambo. Age does not matter. What matters is love my dear. You have to open your heart and accept any man who approches you regardless of age or education. Shauri yako. Utaozea hapo ndani. Kumbuka wimbo wa zamani wa Daudi Kabaka...Msichana mzuri na mrembo kama wewe, hata ng'ambo umeenda ukarudi, lakini kutokana na maringo yako, hakuna wa kukuoa na siku zinaenda na sura yako imechujuka sasa. Wasichana wa nyuma yako wote wameolewa wakakuacha ukihangaika. Be alert my dear!. Acha maringo na kujiona uu msomi...
 
subilia tuu one day yes utapata anayekufaa! Ngoja ngoja yaumiza matumbo! Chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
 
The Boss kujitambua kwa namna gani? mie naona najitambua ndo maana siwezi kuwa na mtu yeyote ingawa this is the perfect time tena naona nimechelewa. Mimi nafikiri hivi my men anatakiwa awe rafiki yangu tufanane hata tuvyoona mambo na kufikiri yaani hata tuwe tunazungumza lugha moja mitazamo inaenda pamoja tusaidiane pamoja kufikia our vission. sasa kinachoni embarasse ni kufuatwa na watoto ! mtu yuko 3rd year and am working for more than a year ,nikifikiria sielewi au naonekanaje sijui.

ok hapa kidogu una sound muelewa
hebu nifafanulie 'status' ulimaanisha nini?
 
Back
Top Bottom