wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

Soledad, hiyo huwa inawatokea karibia watu wote nikiwemo mimi...kikubwa, endelea kumuomba MUNGU kwa nguvu zako zote huku ukijichanganya na watu wazuri siku zote, in short 40 yako haijafika!Kwa maelezo yako, tatizo linalokusumbua ni kushindwa kutofautisha kati ya mwanaume na mume...kumbuka, mwanaume can be any body with XY chromosomes but mume huwa anatoka kwa MUNGU tu, kikubwa unachotakiwa kufanya ni;

1. Endelea kumuomba MUNGU wako, kwa moyo wako wote na kwa nia njema1
2. Be urself (mnapenda sana ku-pritend), acha kabisa hiyo kitu, huwezi kupata uhusiano wa kudumu kwa ku-pritend.
3. Kumbuka, hakuna aliyekamilia, sote tuna mapungufu kama ambavyo wewe unayo.
4. Hakikisha vigezo unavyotaka nawe pia unavyo, vinginevyo kazi ipo ...

Mwisho: If u want a perfect men, go buy a doll.
If u want a perfect relationship, the go watch a movie.
 
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo
.

Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?

Ss wakifanana na ww kutakuwa hakuna tofauti
 
Thank u, nimesikia jamani halafu hii thread ya muda sasa, nimeshampata wa kufanana na mie, thank u any way

ndo maana wenzako wakianzisha uzi wanakumbuka kuumaliza ili wadau wasizid comment so huyo unayefanananaye ni pacha wako nn maana wanasema visivyofanana ndo hupatana..law ya sumaku
 
ya kwako kama ya lusinde

Du tehe tehe teheeeee kumbe siku hizi hakuna kutusiana kwa majina kama TUNDU LA MAKALIO ni kwa majina ya hao wanaofanya mambo yafanywayo na hilo tundu!
 
Back
Top Bottom