wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

duh umenikumbusha mbali sana na usipo kua makini umri unazidi sogea na quality inazidi shuka aliekudanganya utapewa wa kufanana na wewe ni nani bhana unadhani umemtengeneza?
MWANAUME; ni kama shamba kiwanja yani daily soko lake linazidi panda VS MWANAMKE;ni kama sijui niseme soko la simu tena TECNO
saivi ukipata hata chizi we mchukue tu mtabadilishana huko mbele don waste time
 
Aah! wapi sijakosa kihivyo, niliamua tu kuweka hii thread nione views za wana jf, siwezi kumchukua chizi lo!
 
habari wana jf,
mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. Wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire wapo but hawaji and i can't approach them lo! Sasa sijui mie ndo nina problem? Yaani my heart is full of love and iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo
.

nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?

ehee kumbe ni ivyooo, mi nimekuzidi kila ki2 ilaa......
 
ninyi wanaume kwann mwamsakama huyu binti?mie nadhan wewe hujafaham unachokihitaj isitoshe maranying wanaume huwa wanamtokea mwanamke ambaye wanafaham fika ni wa level zao wakiona yuko level za juu yao bac huishia kula kwa macho hivyobasi hao wanaokuapproach wewe uko level moja nao ,kama wataka wa level ya juu nawe improve level yako

Weeee sio mimi,hata ujiweke kama nini,akilia zangu zikisema kamata hiyo,nakula nawe sahani moja siangalii makunyanzi
 
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo
.

Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?

nipo mm naendana nawewe kama vip ni PM tulonge
 
usipoangalia utazeeka una "select", huwezi kupata mtu 100% mko sawa!! we tizama vigezo vya "mume bora" sio hivyo vyako!!
 
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo
.

Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?

pole sana, muda haukusubiri. BADO HUJAJUA UNACHOHITAJI.
 
Manamake mengine bana (kama hili) yaan full kujikweza utafiri ana nini cha maana kivilee ambacho ni so special wakati kinachompa kiburi ni hilo ripochi lake la manyoya ambalo nahisi kabisa hata huo utamu watu walishanyonya wote na rimebaki dude fulani hivi tu kwa ajili ya haja ndogo. Mashauzi kibao, utajua tu, eti status, elimu na mambo mengi tu ya kijingajinga, una elimu gani wewe ambayo wengine hawana?, vingereza vya gumbalu kibao, yaan umeniboa kinyama, na utabaki hivyo hivyo.

mbona umetumia maneno magumu namna hii????
 
Stupid people fail to differentiate btn academic intelligence and financial intelligence
hivi vitu ni vitu ambavyo ni vya kutafuta na hamna anayezaliwa navyo.
Mi nafikiri kwamba tafuta mtu mnayeendana halafu unasaidiana naye kam ni
kumuicaurage aende shule au kitu kingine la sivyo itakula sehemu muda haumsubiri
mfalme shauri yako.
 
Thanks for ua advice, now I know what I need, hii thread ya long time, I have already solved the issue
eee hongera! tuambie huyo shemeji yukoje maana wengine ndiyo tunaiona thread na tulitaka kurusha ndoano.
 
badilisha viwanja kama ulikuwa unajiachia lunch time uswahilini.......badilisha nenda sehemu expensive,it might cost you a fortune but it will guarantee you the best results....lol:madgrin:
 
sasa mungu atakupaje wakati wewe msomi utaki walemavu wa elimu?????Mdada vp...suala zingatiaaa age elimu majaliwa/.....jitambue unataka nn?unataka ndoa au elimu?ndoa au umaarufu?ndoa au status?ndoa au mali?ndoa au majivuno?kipi wataka ww mtz...utasubiri sana mdada amua......acha kuomba kwa vigezoo upati ngoo..ila kama unataka ndoa nasio vingine amua leo na utaonaaaaa....zinduka ww bhana achana na maisha ya kuigaaaa bali igwaaaaaaaa:A S clock::A S clock::A S clock:
 
Thank u, nimesikia jamani halafu hii thread ya muda sasa, nimeshampata wa kufanana na mie, thank u any way
 
Back
Top Bottom