vema umesema mwenyewe kuwa Mungu humpa mtu mke/mume afananaye naye. kwa nyongeza Mungu haharakishwi au kulazimishwa. kuna mawili, anaweza akakupa kwa kuchelewa au asikupe kabisa. je mtamgeukia shetani ili aharakishe matakwa yako au uko tayari kusubiri uamuzi wa Mungu?
u
Ulichosema hapa ni kweli kwamba Mungu umpa mtu mke/mme wa kufanana nae,
Tatizo la Soledad akipewa huyo wa kufanana nae,ye anadai huyo sio wa status yake
What i believe is kinachotoka kwa Mungu kwa maana ya kufananishwa na mwenzi wake
sio hizo sifa anazozitaja bi shost,
bali ni utu,ucha Mungu,kiasi,na mambo yanayofanana na hayo
sio material km status,i don know uhandsome, utajiri n.k
Mungu hawezi mpa mtu alietulia au mcha Mungu akampa mzinzi,mlevi n.k
Bali atamchagulia wa kufanana nae katika hayo....
viangalieni hivi vitu kwa umakini sana
Mtu asijeona ana Elimu, kazi, ni mzuri wa sura na umbo zen akamforce Mungu ampe mtu wa hivyo km atakavyo
Utaishia kusubiri na kujiona una mkosi milele..
ntarudi tenaa!