Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Boss kujitambua kwa namna gani? mie naona najitambua ndo maana siwezi kuwa na mtu yeyote ingawa this is the perfect time tena naona nimechelewa. Mimi nafikiri hivi my men anatakiwa awe rafiki yangu tufanane hata tuvyoona mambo na kufikiri yaani hata tuwe tunazungumza lugha moja mitazamo inaenda pamoja tusaidiane pamoja kufikia our vission. sasa kinachoni embarasse ni kufuatwa na watoto ! mtu yuko 3rd year and am working for more than a year ,nikifikiria sielewi au naonekanaje sijui.
habari wana jf,
tatizp ni kuwa wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. Wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!.
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo .
Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?

hamna ndugu yangu aliyekufa na ukimwi....sasa wewe hutaki mimi nimsaidie wakati sifa ninazo.....yeye sifa ya ukimwi hana ndo maana na mimi nimemkubali ingawa sijui sura yake
habari wana jf,
mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. Wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire wapo but hawaji and i can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? Yaani my heart is full of love and iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo .
nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?
akili yako kama ya joseph mkenya wa kamanda cover!!!!!
ya kwako kama ya lusinde
Habari wana JF,
Mie ni mdada umri wangu ni abt 27yrs, nimekuwa nikipata shida hadi sometimes i feel bad and embarassed . Tatizp ni kuwa Wanaume wengi wanaonifuata kwaajili ya mahusiano siendani nao in every aspect mfano education, status and age. Imefikia mahali nashindwa hata kujielewa labda nipo selective sana for men , i dont know. wengi wanaonifuata akiwa na elimu kama yangu basi atakuwa mdogo kuliko mie this happen many times, akiwa sawa na mie au above my age basi atakuwa either shule ndogo au status yake na mie tofauti sana so we can't be!. Naomba ushauri maana its time for me to share my life with some one but the bible say mungu atanipa wa kufanana nami ila mie simuoni huyo wa kufanana na mie na siwezi kuamua kuwa na mtu yeyote tu kwasababu hajatokea wangu, aina ya wanaume ninao wa admire WAPO BUT HAWAJI and I can't approach them lo! sasa sijui mie ndo nina problem? yaani my heart is full of love and Iwant to share this with some one but wote wanaokuja ndo hivyo .
Nifanye nini ili nipate wa kufana na mie ?
wa kufanana naye maana yake I can be with him alipopungukiwa naongezea and vice versa
the boss kujitambua kwa namna gani? Mie naona najitambua ndo maana siwezi kuwa na mtu yeyote ingawa this is the perfect time tena naona nimechelewa. Mimi nafikiri hivi my men anatakiwa awe rafiki yangu tufanane hata tuvyoona mambo na kufikiri yaani hata tuwe tunazungumza lugha moja mitazamo inaenda pamoja tusaidiane pamoja kufikia our vission. Sasa kinachoni embarasse ni kufuatwa na watoto ! Mtu yuko 3rd year and am working for more than a year ,nikifikiria sielewi au naonekanaje sijui.