Hellow Mdada,
Kwanza kunywa maji mdogo wangu alafu unisikilize,nataka nikupe perspective ya kike katika hili.Shost usichague sana but don't lower your self too much.You deserve the best baby girl,you are the flower and you have the power.
Mwanaume uliyemzidi umri na status (education,finances and social status)anaweza kukufaa ila anaweza kuwa na inferiority complex ikawa tabu tena.Inafika mahali unaogopa hata kum-introduce Mr. kwa mashost au kwa colleagues kazini unaona aibu kha nani anataka hy.Hii pia ina angalizo,unaweza kuwa na Mwanaume anakuzidi umri lakini zuzu hujapata kuona mfano wake,hana mtizamo wa kimaendele hata.Anaweza kuwa na financial status nzuri lakini selfish hutakaa uone cent yake.
Hakuna kuchelewa katika hii sector,endelea kumwomba Mungu akupe huyo wa kufanana nawe ila hata mkipishana isiwe saana. Nimesoma wengi wanakwambia eti ngoja ufike 30 sijui itakuwaje,hao bado wako karne za kale,katika developing world what matters ni happiness ya maisha sio kuoa/kuolewa katika umri flani kwa sababu ni destri.Wangapi wamefanya hivyo na ndoa zao ni kwishne sasa hv.
Tatizo la baadhi ya wanaume ni uoga wa kuoa mtu mwenye status flani,ila wako wanaume wa ukweli wanaojiamini hili kwao si tatizo.
Japo kuna watu humu wanasema elimu,fedha havina nafasi katika mapenzi sikubaliani nao asilimia zote.Kuna raha mnapokuwa confortable,mwanaume anaprovide inavyotakiwa,u speak the same language na mna mitazamo inayoendana.Kila la kheri shost.