wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

Soledad, hiyo huwa inawatokea karibia watu wote nikiwemo mimi...kikubwa, endelea kumuomba MUNGU kwa nguvu zako zote huku ukijichanganya na watu wazuri siku zote, in short 40 yako haijafika!Kwa maelezo yako, tatizo linalokusumbua ni kushindwa kutofautisha kati ya mwanaume na mume...kumbuka, mwanaume can be any body with XY chromosomes but mume huwa anatoka kwa MUNGU tu, kikubwa unachotakiwa kufanya ni;

1. Endelea kumuomba MUNGU wako, kwa moyo wako wote na kwa nia njema1
2. Be urself (mnapenda sana ku-pritend), acha kabisa hiyo kitu, huwezi kupata uhusiano wa kudumu kwa ku-pritend.
3. Kumbuka, hakuna aliyekamilia, sote tuna mapungufu kama ambavyo wewe unayo.
4. Hakikisha vigezo unavyotaka nawe pia unavyo, vinginevyo kazi ipo ...

Mwisho: If u want a perfect men, go buy a doll.
If u want a perfect relationship, the go watch a movie.
 

Ss wakifanana na ww kutakuwa hakuna tofauti
 
Thank u, nimesikia jamani halafu hii thread ya muda sasa, nimeshampata wa kufanana na mie, thank u any way

ndo maana wenzako wakianzisha uzi wanakumbuka kuumaliza ili wadau wasizid comment so huyo unayefanananaye ni pacha wako nn maana wanasema visivyofanana ndo hupatana..law ya sumaku
 
Kwanza tundika picha na cv yako ndo nikujibu
 
ya kwako kama ya lusinde

Du tehe tehe teheeeee kumbe siku hizi hakuna kutusiana kwa majina kama TUNDU LA MAKALIO ni kwa majina ya hao wanaofanya mambo yafanywayo na hilo tundu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…