Wanaume wanao vaa miwani nao watakiwa kuchunguzwa

Wanaume wanao vaa miwani nao watakiwa kuchunguzwa

Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Mwachiluwi, alitoroka jana hospital na Sasa anaropoka tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni.

Ninaambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu.
View attachment 2486304

[emoji23][emoji23][emoji23] safarihh amnikamati
 
Home of Great thinker.

Jamii Forum Imevamiwa na VILAZA.

Jamaa sijui hata AMEANDIKA nini???

Sijui anazungumzia miuwano Gani???

Sijui anakerwa na kitu Gani wenzie KUVAA miuwano???

Alafu Jifunze kuandika.
Una mwandiko Mbaya sana.
MATUMIZI mabaya ya sarufi.
Mnatujazia Seva.
 
Home of Great thinker.

Jamii Forum Imevamiwa na VILAZA.

Jamaa sijui hata AMEANDIKA nini???

Sijui anazungumzia miuwano Gani???

Sijui anakerwa na kitu Gani wenzie KUVAA miuwano???

Mnatujazia Seva.

[emoji23]pole pole basi
 
Nasomeka kigogo [emoji23]
Haya kikosi kazi hichoo kinakuijia
FB_IMG_16737259987607874.jpg
 
Back
Top Bottom