Wanaume wanao vaa miwani nao watakiwa kuchunguzwa

Wanaume wanao vaa miwani nao watakiwa kuchunguzwa

Madogo wanatuharibia Jukwaa kabisa yani..

Inauma sana, Jamii forum Ilikuwa Jukwaa la heshima mno.

Ningepost hili kwenye jukwaa la siasa hapo sawa angalia ni jukwaa gani ambalo nimepost mbona vitu vidogo sana
 
JAMII ndio inapoteza mvuto hivi hivi, baada ya Admins kufuta nyuzi zenye maana na kuacha za kupumbavu kv, ulishakula tunda kimasihara....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyiee kwann lakini?? Nimechekaa hadi baas.
Si umemsoma umeona jinsi ambavyo kawachukia wanaume wanaovaa miwani?kisa tu kuna mmoja kamtenda
 
Hawa wanaume wanaovaa miwani wachunguzwe upya wanarembua macho ndani ya miwani embu wachunguzwe halafu mtoe tamko
Tuombe radhi kwanza kwa kuleta Uzi wa mtu anayebalehe...........siyo wote wanaovaa miwani ni ubishoo au show off........miwani ni sehemu ya Tiba kwa tatizo alilonalo mtu ........
 
Unalosema ni kweli. Imagine kabisa mtu anakuja anzisha uzi kama huu? Wa kipumbavu. Halafu baadaye anaweza kulalamika hapati wanaume wa kumuoa.
Mods nao siku hizi sijui wamekuwaje,vitu vya kipuuzi kama hiki kinaletwa na wanakiruhusu
 
Hawa wanaume wanaovaa miwani wachunguzwe upya wanarembua macho ndani ya miwani embu wachunguzwe halafu mtoe tamko
wewe ndio unatakiwa upimwe, mwanaume kamili hawezi kuandika hiki ulichoandika. au labda kama upo kundi lile...
 
wewe ndio unatakiwa upimwe, mwanaume kamili hawezi kuandika hiki ulichoandika. au labda kama upo kundi lile...
Ndo wale wale...siku hizi wapo wengi sana utaziona tu nyuzi zao. Za kipuuzi na zimekaa kishoga.
 
Back
Top Bottom