Wanaume wanaofakamia fasheni za kike ni dalili za ushoga?

Acha kupangia watu maisha yao.
Kama ni maisha yenu binafsi tunaomba mkae nayo ndani msitoke nje kuja kuwaambukiza watu wengine mkuu. Mnaharibu kizazi cha vijana ambao tayari wameishaathiriwa na bangi na unga.
Kuna Fasheni za kipumbavu sana kwa vijana wa sasa hivi
Sana aisee. Mwanaume hadi anatoboa pua anaweka kipini afu anajiona mjanja. Si shoga kabisa huyo?
 
Mkuu nakuomba wafanye watoto kutokuwa na tabia ya kuiga Kila kitu, hiyo ndiyo njia pekee, la sivyo utapiga porojo hadi mwisho wa maisha yako.
 
Mkuu nakuomba wafanye watoto kutokuwa na tabia ya kuiga Kila kitu, hiyo ndiyo njia pekee, la sivyo utapiga porojo hadi mwisho wa maisha yako.
Mkuu huwezi kumaliza tatizo bila kuondoa chanzo cha tatizo. Hawahawa wanaume wenye tabia za kishoga ndio wa kushughulika nao barabara kabla hawajawaambukiza wengine.
 
Mkuu huwezi kumaliza tatizo bila kuondoa chanzo cha tatizo. Hawahawa wanaume wenye tabia za kishoga ndio wa kushughulika nao barabara kabla hawajawaambukiza wengine.
Mimi huwa naamini kuwa wale wanaoambukizwa kirahisi ni watu wajinga Sana wasio na fikra, mafuvu yao yamejaa udongo kiasi cha kushindwa Ku judge vizuri.
 
Mkuu ila yale mapensi makubwa kama tuliyokua tunavaa baada ya kutahiriwa hayana shida.
 
kuna ww na kuna sisi wanaume wa ukwel tunaofanya kitu kinachoitwa............ " mind your own bussiness"...........ongezea sasa na tunaovaa msuli🤕
 
Mkiambiwa msigawe mbegu hovyo, tafuta mwanamke mwenye akili zaa nae, shiriki malezi jamii ipate watoto wenye akili na malezi ya baba na mama hamtaki kazi ni kumwaga mwaga kila tundu. HAYA SASA, NDO MBEGU ZINAOTA NA KUMEA NA BADO, WATAVAA HADI VIMINI SHUBAMIIT.
 
Yaan nisivae pensi kisa nn kwaiyo unaenda Beach na suruali za mashineni
 
Mtoto wakiume unavaaje mkoba? unavaaje pensi iko juu ya magoti? Unavaaje bangili na hereni? kama unataka tukuite Aziza cheupe si useme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…