Wanaume wanaofanya sana mapenzi wabahili!

Wanaume wanaofanya sana mapenzi wabahili!

Wanawake hamweleweki
Tumiwapa pesa bila kuwakuna vizuri mnatafuta ben10
Tukiwakuna vizur bila pesa mnatafuta sponsor.
Kuweni na huruma hata sisi ni binaadamu tunapenda zawadi na kupetiwapetiwa sio kila siku tu kutoa.

Hawa watu hawaeleweki yani hata sijui Mungu aliwaumbaje tumuulize adam ubavu wake ulikuwa na nn
 
Hawa wamebarikiwa mikuyenge
Wee akikushika kunako sita kwa sita atakusonga kama ugali atakupekecha kama mtori au mlenda na atakukanda kama mandazi.
Ukitoka hapo unaeenda kuweka barafu kwenye kitumbua upooze .
Wakati wa kugegedana atakugeuza style zote ukitoka hapo viungo vyotee vya mwili vitaumaa.

Ni wabahili hawa siku zote mwanaume anayepiga sana mashine huwa mbahili hawatoi hela.

Mwanaume anayefanya mapenzi kwa starehe kidogo tu na ukayafurahia weee wanajua kuhonga na kujali hawana makuu.
kaaaaaahh haya bwana
 
Kwa mlio nje ya nchi. Hivi ulaya haswa wana speed limit kiasi gani ndiyo askari akukimbize?

Nacheza gemu la Need for Speed Most Wanted lakini hata nikiwa slow nashangaa askari wananikimbiza.

Msaada tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom