The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Pole sana aisee,Heading haijakaa vizuri. Unaliaibisha kanisa.
Kuamini kwako au kutokuamini hakuwezi kuubadili ukweli,
Fuateni imani zenu bila kuongozwa na hao wazungu,wanawapotosha,
Wanatumia dini kuhalalisha ushoga,kitu ambacho hakikubaliki,
Taasisi moja inapoanza kubariki na kusupport ushoga sio jambo jema kwa jamii zote,coz huko mbele itaonekana kua ushoga ni jambo la kawaida tu,
Watu wote bila kujali imani zao na tofauti zao, wanatakiwa kuungana na kupinga hizi ajenda za wazungu kusambaza ushoga kwa kutumia dini.