Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
Leo nimejiskia kufanya fujo humu.
I predict mnaoandika mada zisizoisha za bikira, mko inexperienced ikija kwenye mapenzi, yaani ni watu reserved mnaogopa ku-explore.
Some of this group mumelelewa kwenye strict rules. Upringing yenu inafuata rules A, B, C; hakuna kuchanganya rules na lazima zifuatwe accordingly.
Mko age tofauti mnaoimba humu kuhusu bikira lakini wengi wenu age yenu ni 23-28, pia mna vibamia nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeee 🤣🤣🤣🤣. Lack of confidence na maumbo yenu ndiyo drive kubwa ya kutafuta mabikira.
Mtu ambaye ame-sex na mtu/watu na ame 'experiment' vizuri hizi habari za bikira hazivalii njuga!