Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Mda mwingine confidence inatoweka kwa sababu unakuta man kaingiza dudu anakuta inapiga mbizi tu. Hapo hapo confidence inatoweka na kuanza kufikiria kwamba uyu demu alikuwa kicheche. Mwisho wa siku tunaona heri kugonga chapa ilale.Vibamia ndio hawanaga confidence na maumbo yao ndio maana wanakwepa wanawake.
By the way huitaji kuwekewa mkwichi kufikishwa kileleni. Mapenzi ni Art ndugu, and second sio vibamia per se bali ni CONFIDENCE issues. Kama una kibamia mara nyingi confidence inakua ndogo.
Lastly i think una kibamia too..lol...haiwezekani ume pick hio point ya vibamia ukaacha the rest, [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app